Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,677
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]He he he he
Ngoja na mimi nijilengeshe kwa Mkurya mmoja anitongoze, nipime kama yaliyomo yamo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]He he he he
Ngoja na mimi nijilengeshe kwa Mkurya mmoja anitongoze, nipime kama yaliyomo yamo.
Kuna yule mzeee wa mashairi naye msukuma hahahah ni balaaaaa anazuzuliwa na weupeeeeYes ukisema wasukuma na mrefer yule msukuma dactareee mkaleeeeeee mzee wa nyundo rafiki yake lekibamiaa kama unamjuaaa anahongaaaa balaaaaaa yaaan ushamba wake wote na ujanja wake wote lakin bado wanawake wanamzuzuaa, kuongeaa halijui linahonga kama halina akili nzuri yy na mdogo wake
Mimi wa magorofani ni mpenzi mtazamaji tuLeo tunatongozana kwa lafudhi ya kilugha inavutia sana .Mchague member yeyote umpe mtongozo kwa lafudhi ya lugha yeyote.
Demiss navutiwa na mitongozo hii.
1.MSUKUMA
"Unajuaga Demiss moyo wangu umekudondokea nakupendagaa sana "
"Nakupenda getegete nikupeleke Geita nina mang'ombe mengi unywe maziwa na mananasi wewe mtoto nakupendaga mtoto mZuri moyo wangu unadundadunda "
"Mtoto mweupe kama malaika geteee mama geteee nakupendaga mpaka basi nikupelekege kwetu Geita ukale mananasi gete Demiss mama "
2.WAKURYA
"Muraaa Demiss kesho uje kule magorofani Muraaa nakaa gorofa ya pili mura nyumba namba 3B muraaaaa haraka sana ujeee Muraaaaa"
"Nakupenda sana Muraaa nataka nikuoe muraaa mm sina maneno mengii muraaaaa nakupenda mura mm ni Mkuu wa kituo cha polisi Muraaaa so utakuja au hauji Muraaa?
"Unajua kama mkuu wa mkoa ni ndugu yangu Muraaa "Muraaa kesho basi Muraaaa Demiss.
3.WACHAGA ARACHUGA
"Unajua Demiss lile jiko langu la kitimoto pale Darajan Bar Manzese nataka nikupe uwe msimamizi unajua kama nakupenda sana nataka nikuoe tufanye biashara ya Duka Tegeta kwa sababu nakosa msimamizi ujue"
"Unajua chalii yangu Demiss mm nakuzimia toka long time kitambooo yaniii nakupendaaa kinyamaa mchizi wangu nakupendaaaa ile mbayaaaa chaliiii yanguuu"
"Nataka unipe mzigoo chali yanguuu.
Demiss Mama ntilie.
Nina mwali ndani kwa nini nisiwe na furaha..Loooh unapenda kuchekaa weyeee siku hiziiii
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Ndugu yangu Mshana JR hapo yupo wapi??
[emoji15] [emoji15] [emoji15] talaka!? [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji3]Mmmhh siumeolewa na mshana wewe sasa mambo ya kutongozwa yanini tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndugu naona unatabasamu aiseee !! Nalitaka kujua upo wapi hapo !!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
SIku unawaza kumuacha jiandae kwa kipigoHe he he he
Ngoja na mimi nijilengeshe kwa Mkurya mmoja anitongoze, nipime kama yaliyomo yamo.
.Ndugu naona unatabasamu aiseee !! Nalitaka kujua upo wapi hapo !!!
Hahaaha mkuuu , nikaribishe juice za matunda bana ,izi mambo situmii ,siunajua nimetokea ndani ndan ukooo [emoji23][emoji23][emoji23] nisije ongea kithungu bureeee
Alilazimisha mishuzi...Angetongoza kigogo tu basiiii
Muulize wakurya Mzigua90He he he he
Ngoja na mimi nijilengeshe kwa Mkurya mmoja anitongoze, nipime kama yaliyomo yamo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaogopa kuivisha maini?Hahaaha mkuuu , nikaribishe juice za matunda bana ,izi mambo situmii ,siunajua nimetokea ndani ndan ukooo [emoji23][emoji23][emoji23] nisije ongea kithungu bureeee
Asante sana....ss wakina Rwechungura huwa hatuna maneno mengi,
Niko Hapa muraaa kesho uje na kinga kabisa.He he he he
Ngoja na mimi nijilengeshe kwa Mkurya mmoja anitongoze, nipime kama yaliyomo yamo.