Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,914
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidogo kwa sasa wadau wameanza kutokelezea na mavazi mengi, huku wakaka na wadada wakipendeza sana na maumbo mazuri ya kiafrika waliyojaaliwa.
Vazi la kitenge huweza kuvaliwa sehemu yoyote ile inategemea na jinsi lilivyoshonwa. Vazi hili huweza kuvaliwa na jinsia zote mbili yaani wanawake na waname na kuwaweka nadhifu na wenye kuvutia, pia ni vazi la heshima na fahari kwa mwafrika.
Michango ya wadau:

----Tumekarishwa hayo yote na tamaduni zetu wote.
But the fact is any cloth material can be well designed and used anywhere. Again kama tangu mwanzo wa zama za babu zetu watu wange preffer kuvaa khanga or kitenge katika mahofice, iguess tungesema kwamba those cloth girls used to wear kwa mahofice yao sio sahihi.
Finally here's my point. Office ni place or mahali, i mean it might be a building or an open area or whatever ambapo mtu anaendeshea shughuli yake ya kila siku, kama shoeshine, mtu anaeshona nguo, office ya radio & tv, office ya carpenter and whatever, wanavaa vile wanapendeza machoni pa watu. A female teacher may wear a khanga designed cloth na amefunga kilemba yake kichwani anaendea office,
So mie nadhani hawako interested kuvaa hivyo basi wanafanya matakwa yao.
Hi.
----Mtu akikwambia hawezi kuvaa nguo ya kitenge ofisini maana yake either hapendi vitenge, au hana tailor mzuri. Mimi navaa from time to time. Inategemea pia upo wapi, maana sehem zingine vitenge ni nguo adimu sana kiasi kwamba ukivaa wanadhani unaenda in a cultural event tuu.
----Tumekarishwa hayo yote na tamaduni zetu wote.
But the fact is any cloth material can be well designed and used anywhere. Again kama tangu mwanzo wa zama za babu zetu watu wange preffer kuvaa khanga or kitenge katika mahofice, iguess tungesema kwamba those cloth girls used to wear kwa mahofice yao sio sahihi.
Finally here's my point. Office ni place or mahali, i mean it might be a building or an open area or whatever ambapo mtu anaendeshea shughuli yake ya kila siku, kama shoeshine, mtu anaeshona nguo, office ya radio & tv, office ya carpenter and whatever, wanavaa vile wanapendeza machoni pa watu. A female teacher may wear a khanga designed cloth na amefunga kilemba yake kichwani anaendea office,
So mie nadhani hawako interested kuvaa hivyo basi wanafanya matakwa yao.
Hi.
----Nionavyo mimi inategema hicho kitenge umekishonaje kiofisi, kikanisa, kimsikiti, au kipati na je unayekivaa ukoje kwanza mwonekano wako usije vaa kama uko home wasonga ugali eti waenda nacho ofisini si ushamba jaamani huo
unaweza kushona kiiofisi na ukakivaa, wengine watapenda kwani huo ndo utamaduni wetu na ni vyema kupenda utamaduni wa kwenu haya mambo ya kuvaa bikini kazini ni ushamba tu
----Tumekarishwa hayo yote na tamaduni zetu wote.
But the fact is any cloth material can be well designed and used anywhere. Again kama tangu mwanzo wa zama za babu zetu watu wange preffer kuvaa khanga or kitenge katika mahofice, iguess tungesema kwamba those cloth girls used to wear kwa mahofice yao sio sahihi.
Finally here's my point. Office ni place or mahali, i mean it might be a building or an open area or whatever ambapo mtu anaendeshea shughuli yake ya kila siku, kama shoeshine, mtu anaeshona nguo, office ya radio & tv, office ya carpenter and whatever, wanavaa vile wanapendeza machoni pa watu. A female teacher may wear a khanga designed cloth na amefunga kilemba yake kichwani anaendea office,
So mie nadhani hawako interested kuvaa hivyo basi wanafanya matakwa yao.
Hi.
Mmenikumbusha juzi kati nilikutana na mdada kwenye mgahawa fulani wa hospitali, baadae nikamkuta wodini kavaa joo la doctor...nikashangaa kwani sikuona kama ana personality ya kuwa doctor, baadae nkajiuliza kwa nini sikuweza kudhania kuwa huyu dada ni doctor?
Jibu nilopata ni kuwa alikuwa amevaa kitenge, tena cha heshima kweli kweli na yeye bado ni kabinti. Sasa ilimfanya aonekane poa sana to be a doctor; (kama mshamba fulani hivi). Lol, kweli vitenge si vazi la ofisi unless ushone kiofisi ofisi.