Kumbuka miaka yake 71kwa ambao tuliwahi kupata msoto wa maisha na kunyanyuka tunaweza ielewa hali anayoipitia, pole sana kwake.
Ndiyo Mke mdogo huyo?Uyo mwanamke ana miaka 31 mzee ana miaka 71
Mke mdogo tayar yupo polisi kala makofi uyoNdiyo Mke mdogo huyo?
Ahahahaaaaa ameshindwa kumsaidia kada wao mtiifu kule Mbeya mpaka anakufa,atakuwa huyo?Makala anajitahidi kuangalia sehemu yenye Kiki ambayo chama kitamuona na si vinginevyoMakalla njoo msaidie na huyu mwanaume mwenzetu kama ulivyomsaidia yule mwanamke wa CHADEMAView attachment 3289788View attachment 3289789
Ndiyo safi anataka kumvunjia heshima Mzee wa Watu aliyoijenga kwa miaka mingi.Mke mdogo tayar yupo polisi kala makofi uyo