Unaweza kuta alienda mzima mzima hapa "Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM lakini hakupitishwa".aisee kwa vyeo vyote alivyowahi kuwa navyo kuna namna aisee.... kuna namna ambavyo hiyo pesa kaipeleka. nchi hii ukiwa tu mbunge miaka 10 unakuwa class tofauti ya sisi wasaka tonge, sasa ndani ya mwaka mmoja wa kukosa uteuzi kafika hapa?
.There is a background in everything
bila kusahau wajane na vijana walio hitimu vyuo mbalimbali.
Hao mafisadi shenzi sana ni laana tu ya kuibia raia pesa nyingiUnaweza kuta alienda mzima mzima hapa "Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM lakini hakupitishwa".
Watu wanachukua mikopo kununua wanachama wenzao ndani ya chama, kutengeneza team, waandishi wa habari na kadhalika.
Mambo mengi tunakisia tu, ila bado haimake sense kawezaje kurudi chini faster hivyo hata kama hakuwa fisadi bado alikuwa kwenye mazingira mazuri.
Ndio shida ya kuoa watoto
Kaka Mshana jr, usipeleke mawazo yako huko pengine alifanya uwezekezaji lakini haukuleta faidaPale kati patam
Yeah anything can happenfumbo..anything can happen anytime.
Mitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri Mambo ya ndani 2012 hadi 2015. Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM lakini hakupitishwa. Mwaka 2021 akateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro nafasi aliyoitumikia hadi mwaka 2024 alipomaliza muda wake. Kwa bahati mbaya baada ya hapo amekuwa kwenye changamoto nyingi za kifamilia.
#MyTake:
Unapoombea nchi, usisahau kuombea wanaume (hasa waliooa). Wanapitia mitihani mingi sana ya maisha.!
View: https://www.facebook.com/share/v/18d4au912A/?mibextid=D5vuiz

Uyo mwanamke kamdharililisha lakini jamaa anahotel Zanzibar kubwaHela imekata? Duuh wanaume tunateseka na kuumbuka sana,ukute hivyo vitu alinunua mwanaume, Mambo yamekaba ,mwanamke ansmuadhiri Jamaa!