Mitihani ya maisha

Mitihani ya maisha

Huyo mwanamke anadhani ameumaliza ulimwengu? Wanaume tunateseka!
 
Mzee wa michango Makalla hili asilikalie kimyq kama halijui
Makala alishawahi kupigika sana hata kushindwa kupeleka Watoto shule kipindi cha magufuli . Alikuja kuokolewa na SSH . siyo kwamba hajui anajua sana
 
Makala alishawahi kupigika sana hata kushindwa kupeleka Watoto shule kipindi cha magufuli . Alikuja kuokolewa na SSH . siyo kwamba hajui anajua sana
Kumbe ndio maana .....
 
Back
Top Bottom