Ukweli mchungu huu...Jamaa ana roho mbaya na chuki, hawa ndiyo wale wanaoamini ufaulu wa darasani lazima uwe na maisha mazuri mtaani!!!!!!!!! Au ufaulu wa darasani lazima uendane na uongozi mzuri!!!!!!!!!!
Kauli zao sasa: Mimi nilipata divisheni one ,jamaa kilaza yule, haiwezekani yule afaulu, hawezi kuongoza yule, hawezi kuwa na hela yule!!!!
Ukweli mchungu: Hatuna wasomi ila tuna vipaji vya kukariri, mtaa hautaki kukariri!!!!!!!!!!!!!!!
Wawaache madogo wakale mbususu vyuoni huko boom likitokaWacha watoto wafaulu.
Kila mtu anatakiwa ale keki ya taifa.
Waende chuo wale boom nao
Elfu kumi kwa siku sio mchezo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Competition ni Kubwa This time.Ndio tena bila shaka kabsa,sema kwa ufaulu wa hawa madogo,one kibao za PCB zitakutana kwny education uko
Ni kweli hakuna cha maana tulichofanya zaidi ya kuzaa mitoto kama nyinyi ambao hamuna shukurani hata kidogo.Hao wataalamu wa zamani waliofaulu kwa haki wamefanya nini cha maana hadi sasa hivi ?
Wakati hawawezi kufanya chochote zaidi ya kuongea kwenye makongamano.
HATA kuangalizia ni kipaji asingekuwa na akili hiyuo one kaitoa wapi?Kuna dogo hapa kapata div one hapa lakini hajui nchi hii Ina mikoa mingapi, Wala mihimili mitatu ya nchi hajui.
Haka ka msemo ka toothpick zinaagizwa china kamekaa kinafiki sana.....Ruangwa huku maporini kuna kiwanda cha kutengeneza hizo toothpickWaacheni watoto wafaulu wakatafute Fulsa duniani.
Mambo ya kufelishana yamepitwa na wakati.
Nakumbuka mwaka flani kidato cha sita kalibu asilimia 70 waliferi somo la history kwa kupata F.
Hayo mambo hayana faida kwa dunia ya sasa.
Nchi za jirani zinafaulisha sana watoto wao na zinaonekana ni za wasomi wengi wakati elimu yao ni ya kueleweka na kufaulu.
Kwani nyie mliopata AAAAAAA hapo zamani Mnalisaidia nini Taifa kwa sasa wakati hata teethpeaks tunaziagiza China.
Mmeua mashirika yote ya Umma hadi leo mnaambiwa mmeshindwa kuendesha miradi yote na mnategemea kuendeshewa na majirani zenu wa hapo jirani Kenya na Rwanda.
Hii ni Fedheha kubwa sana.
Wache watoto wafaulu wajiunge japo na masomo ya VETA waje watujengee nyuma za kulala.
Napenda kulishukuru BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA. (NECTA) kwa haya mafanikio makubwa ya kuacha ukiritimba wa kufelisha watoto tunao walipia ada kwa shida na taabu tele.
Umeajiri watu wangapi Msomi wa Chuo Kikuu cha Daslamu yaani UDSM ?Ni kweli hakuna cha maana tulichofanya zaidi ya kuzaa mitoto kama nyinyi ambao hamuna shukurani hata kidogo.
kuzaa watoto na kuajiri vina uhusiano gani?Umeajiri watu wangapi Msomi wa Chuo Kikuu cha Daslamu yaani UDSM ?
Hahahah hilo la oxygen si tayari ushapewa jibu hapo 🤣Eti swali
"In what ways water is important to the plant!!?"
"What should mamalian placenta formed immediately after implantation"(Lina marks nyingi hili)
"Oxygen taken through humna nose enter the lung and then transported to all part of the body. Describe three ways n which oxygen is transported in human body"(Lina marks nyingi hili)
Mtihani wa shule ya msingi huu.Sio form Six
Mtihani mrahisi sana hata Mimi wa niliyesoma HGE naufanya na sikosi B au A kabisa
Mkuu shule niliyopiga advance hua inatoa 1 chache sana tena kuanzia 8 na 9 ila ghafla mwaka huu wamepota 5 kibao na Hakuna kilicho badilika shuleni Pale walimu ni wale wale na mazingira yaleyaleToa uthibitisho wa shule hizo