<br />Ndugu wana Jamii!Nina shamba la miti ya mitini kwa idadi ya 4280,shamba liko maeneo ya Msata Bagamoyo.Nataka kuchukulia Mkopo kwa dhamana ya Shamba lille.<br />
Je kuna mtu anaweza changia ni jinsi gani ya kuweza pata mkopo?Natanguliza shukrani zangu.
<br />Title deed ipo lakini evaluation report sina!nataka mkopo wa milioni 40/=.
Title deed ipo lakini evaluation report sina!nataka mkopo wa milioni 40/=.