Miti ya mitiki na mikopo ya benki

Upanga

Senior Member
Jun 18, 2007
145
49
Ndugu wana Jamii!Nina shamba la miti ya mitini kwa idadi ya 4280,shamba liko maeneo ya Msata Bagamoyo.Nataka kuchukulia Mkopo kwa dhamana ya Shamba lille.
Je kuna mtu anaweza changia ni jinsi gani ya kuweza pata mkopo?Natanguliza shukrani zangu.

Title deed ipo lakini evaluation report sina!nataka mkopo wa milioni 40/=.

Kinachohitajika ni Valuation Report na si evaluation report.kitendo ni valuation na si evaluation.nafikiri tuko ukurasa mmoja hapo.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom