Mitego ya wadada kwenye barbershops

[emoji25][emoji25][emoji25] sitaki kusema mzee aibu, demu anapitisha mikono hadi kifuani jmani[emoji23][emoji23]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
Daah si ungekoroma kdgo kwan kifua nacho kilinyolewa, au ilikuwa kutiana nyeg* tu! [emoji3]
 
Juba Sudan kusini mkuu lakini nategemea kuwa Dar wiki ijayo na ningependa kunyolewa kama wanajua kunyoa vizuri.

Hahaha.. ukifika nijulishe basi nikuelekeze


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Kukutega ni sehemu ya kazi yao bt kukubali kutegeka ni maamuzi yako

Walinikosa, nikaamua kukaza sura.! Wale wadada hapana asee [emoji23][emoji23]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
 
Kwa haraka haraka unakuwa umebeba ukurutu wa watu kutoka Asubuhi hadi muda ule daaah . Sioshwi tena na hawa wajinga [emoji23][emoji23]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
ni hatar kwa afya mkuu bora uko uko kwa wadada[emoji23][emoji23][emoji23] wanakuosha na maji ya moto na kitambaa kinafuliwa onspot...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno yanachoma kma pasi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…