Mitego ya wadada kwenye barbershops

Mitego ya wadada kwenye barbershops

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
3,034
Reaction score
4,270
Habarini za asubuhi hii wanajamvi wenzangu, mimi ni mzima Afya namshukuru Mungu.

Nimekuwa na utaratibu kunyoa mara moja kwenye hizi saloon zetu za kiume ili kuepuka vishawishi vya wadada wanaotoa huduma mle ndani. Kuna mahali hapa nilipohamia, jirani kuna hii XXX Barbershop ndio imekuwa sehemu ya karibu kwenda kupata huduma. Katika uzoefu mdogo nilionao, hawa wadada jamani sijui hawajui kama sisi wanaume tu dhaifu kwa wanawake jamani.

Jana nimeingia mle saloon nikanyoa fresh tu jamaa akaniambia ingia huku kuna watu watakuhudumia kuosha kichwa, nikaingia na baada ya kuingia nikapokelewa na mdada amevaa vizuri mrembo na sura yake mashallah, nikakaa kwenye kiti akaanza kuniosha e bwana ee, si akawa ananigusisha kichwa kwenye nyonyo zake huku ananiuliza vipi huku ananitazama kwenye kioo. Daah yaani kidogo tu nimwambie anifanyie masaji ya mwili mzima maana sio kwa msisimuko niliopata pale.

Mpaka namaliza kuoshwa kichwa baada ya kunyoa na kupaka mafuta daah nilikuwa nishavurugwa kihisia. Lakini nilijikaza.

Jamani wadada mnaofanya kazi barbershop, hebu kuweni na huruma na hisia zetu wanaume na ukijumlisha na huu usawa si mnataka kutufirisi kabisa. Wewe dada unayefanya kazi hiyo jamani hebu muwe na huruma basi na sisi tuna majukumu siku nikiwa na hela ya kufanya masaji mwili mzima nitakuja kwajili ya hio ila sio kwa vishawishi vyenu.


Happy dude
 
Unaingia Baa mwenyewe, unaagiza pombe mwenyewe, unakunywa mwenyewe...unatoka unayumba yumba huku unaporomosha mitusi, unaenda hatua mbili mbele tatu nyuma.....kisha unaanguka chini na unaanza kuwalaumu Wanaozalisha pombe.
 
Unaingia bar inayohudumia watu 2000 kwa siku, au salani inayohudumia watu 40 kwa siku unakutana na mwanamke anakufanyia vimbwanga na wewe unajifanya una manyegezi unaingia kingi na kuamini kuwa wewe ndio wa kwanza kumuona kumbe umezoa furushi la maradhi na ukiugua unaanza kumalizia fedha kwa waganga wa kienyeji eti umerogwa, umeacha mke mzuri nyumbani na watoto wanamuonea huruma baba yao kakonda hoi kumbe tamaa tuu za kujifanya kila sketi lazima uifunua
 
Back
Top Bottom