Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
Yadai chanzo cha ajali ye ndege ni ubovu wa uwanja wa ndege huko Mwanza...
Yachomeana tena nyumba na kuharibiana mazao huko Musoma...
Yazidi kuacha wamama wajawazito wazalie sakafuni....
Yachota mafuta ya taa kwenye gari lililoanguka...
Yawaibia maiti ajalini huko Tabora...
Yadai urai wa nchi mbili...
Yauziana hisa za dhahabu yao Ulaya...
Yajengeana majumba ya kifahari ufukweni...
Yasafiri huko na huko duniani kutafuta wawekezaji...
Yapanga bajeti kubwa sana ya matumizi ya kawaida kila mwaka...
JE, MITANZANIA NDIVYO ILIVYO?