assimi goita

Général d’Armée Assimi Goïta (born 9 November 1983) is a Malian military officer who has served as interim President of Mali since 2021 and the president of the Alliance of Sahel States since 2024. Goïta was the leader of the National Committee for the Salvation of the People, a military junta that seized power from former president Ibrahim Boubacar Keïta in the 2020 Malian coup d'état. Goïta later seized power from Bah Ndaw in the 2021 Malian coup d'état. He indefinitely postponed elections in 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mali: Wanajeshi 20 wanaoshukiwa kutaka kupindua serikali ya Rais Assimi Goita wakamatwa

    Mali imewakamata makumi ya wanajeshi wanaoshukiwa kupanga njama ya kupindua serikali ya kijeshi, ambayo ilichukua pia mamlaka kupitia mapinduzi. Vyanzo kadhaa vimesema kuwa karibu askari 50 wametiwa nguvuni Miongoni mwa waliokamatwa ni Jenerali Abass Dembele, Gavana wa zamani wa Jimbo la Mopti...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mitano tena kwa Rais wa Mali, bila kikomo rasmi

    Tangu kupata uhuru mwaka 1960, Historia ya Urais nchini Mali imegubikwa na misukosuko ya kisiasa, ambapo karibu kila mabadiliko ya madaraka yamehusisha mapinduzi ya kijeshi. Kuanzia kumuondoa Modibo Keïta mwaka 1968, hadi mapinduzi dhidi ya Amadou Toumani Touré mwaka 2012, na Ibrahim Boubacar...
Back
Top Bottom