Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
mkuu, kwenye mfumo wa kiimla lolote lawezekana.Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, huyu mtu ni Tundu Lissu? Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?
Kipindi flani cdm walidukua miamala ya Zitto kabwe hii ilikuwaje kisheria?Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, huyu mtu ni Tundu Lissu? Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?
Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.
Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.
Kwa hili ni sawa kufuatiliaLeo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.
Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.
sasa wasipodukua mawasiliano..itakuwa nini maana ya serikali?Serikali ikiamua kukufuatilia inaweza kuanzia taarifa zako zote zamawasiliano hadi miamala yote ya pesa hadi wake na michepuko yote ulonayo
taarifa za miamala ya Zitto mlizipataje kama ni siri?Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.