Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Watanzania tunajenga taifa la watu wezi kuanzia serikalini mpaka kwenye makampuni binafsi watu ni wezi sana! Inasikitisha na inatia kinyaa.
 
una download video moja tu hapo
Ila pamoja na mapungufu yao ila kiukweli gharama tunazolipa miaka hii mpaka raha maana zamani just imagine vocha ya buku 5 ukiongea mfululizo unaongea dakika zisizo pungua 15 hapo hujatuma sms na kama unatumia na kuchat dakika 10 tu lakini leo unapata huduma tatu kwa wakati mmoja yaani bundle, sms na kupiga. Mie tigo ametuletea mabadiliko maana yeye kila mwaka anakuja na promotion zake zile za walalahoi na mitandao mingine wanaiga.

Tuombe tuleletewe na mshindani wa TANESCO sasa
 
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms

Tsh 500= dk 15+250sms+8mb

Tsh 650= dk 30+300sms+8mb

Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb

vodacom kwenda mitandao mingine

Tsh 150= sms 10

Tsh 499= dk 7+300sms+8mb

Tsh 649= dk13 +450sms+8mb

Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb

vifurushi vya wiki voda kwenda voda

Tsh 1050= sms 70

Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb

Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb

Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb

Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb

Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb

vodacom mitandao yote kwa wiki

Tsh 1050= sms 70

Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb

Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb

Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb

Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb



hahahahaha

KWELI VODACOM KAZI NI KWAKO

nashukuru umenidadavulia ndo bas tena voda
 
Hivi jamani vodacom mnaturdisha nyuma? Dunia ya Leo Internet sio luxury ni kitu muhimu sana. Jana nimesoma bongo five mkisema kuwa vijana watumie internet kwa maendeleo, sasa kwa mb8 mtu atajifunza nini!!! Wizara husika na mamlaka ya mawasiliano mtusaidie. Ifike wakati vodacom na makampuni mengine moune aibu. Naomba kwa pamoja tuseme HAPANA tutashinda
 
hama uko weka line kwenye tochi smat phone tafuta mtandao nafuu tutahama mpaka basi
 
Mnalalamika Nini kwani mmefungwa Vichwa ,si kuna mitandao mingi tu yrnyr huduma mnazozitaka ni nn kinawanyima kuhama .

1. Tigo

2. Airtell

3. Zantel

4. Smart .

mingi tuu ..hakuna haja ya kuita watu wezi ,hayo ni mazungumzo na makubalianonya kampuni

Mkuu ktk list yako hiyo #No1 itoe hapo,hakuna mtandao mbovu Tanzania kama tigo,internet yao iko slow huduma zenyewe mbovu kama asubuhi leo nimekaa masaa 3 mnara ktk sim yangu hausomi nikadhani sim mbovu kuuliza wengine nao hivyo hivyo.
 
Kwa kadri tunalivyoelekea kwenye uchaguzi hizo 8mb zitapungua sana, Bei za data Ziko juu Sana, mabundle YA data tu yalitakiwa kupatikana kwa unafuu ili Kila mtanzania aweze kumudu kupata internet
 
Asee nimejionea leo naenda kununua eirtel , vodacom ni MAJAMBAZI kabisa
 
kampuni la mafisadi hilo(lowasa and rostam aziz)
 
TCRA tazameni hawa Vodacom Tanzania au sababu tumewekeza mda mrefu kwao? Enyi Vodacom Tanzania acheni wizi watu wameamka sasa.
Mb8 ????? Kwanzia leo vodacom ni kwaajili ya kupokea tuu na hamia eittel
 
Last edited by a moderator:
Members hii haiwezi kupita bila ya kupingwa hata kama hakutakuwa na mabadiliko yeyote.. Na hata kama tumeamua kuhama lakini tuhame tukipambana.. Naomba kwa members walioguswa wagonge hapa https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/724610-vodacom-tanzania-support-thread-maswali-malalamiko-na-ushauri-29.html na waseme yao ya moyoni.. Ukiweza kutoa maneno mabovu toa tu maana kumbe Vodacom sio kampuni ni mtu kudadadadeki..

Tusikubali kushindwa bila ya kupambana na hawa ndezi..
 
Yaani Kifurushi cha wiki 4999/= dk 91, sms 1000 na MB60!!!!!!!! Hawa jamaa wameshiba mahela yetu. Why wa kifurushi cha 1999/= mpaka cha 9999/= wote wapate flat rate ya MB60?? Nahuisha line yangu ya Airtel, Nasepa!
 
hamia airtel yatosha babalao

airtel kwenda mitandao mingine masaa 24

Tsh 399= dk 5+50sms+15mb

Tsh 499= dk 10+300sms+75mb

Tsh 599= dk 15+350+100mb

Tsh 649= dk 17+459sms+125mb

Tsh 999= dk 25+1000sms+150mb


UJINGA WETU UNATUPONZA HAMIENI HUKU....

AIRTEL YATOSHA
 
Baada ya kuona hatukomi kwa kutuibia kwa kipindi kirefu, leo voda wameimarisha wizi wao baada ya kuondoa kifurushi cha 250 na 400 ambacho kilikuwa nafuu sana kwa sisi walal hoi!

Sasa itabidi tujikamue zaidi kwa kununua kifurushi cha 500 dk 15 sms 250 na 8mb, badala ya dk 19 sms 250 na 50mb.

Kilio kwa wengi kitakuwa hapo kwenye MB maana hamna kifurushi chenye MB zaidi ya 8.

Mb 8 ni chache sana jaman wenye smart phones itabidi muongeze bajeti. Huu ni wizi mwingine kama ule wa escrow!!


Una uhuru wa kuchagua pia hapo haujaibiwa wala nini kupanda bei na kushuka ni vitu vya kawaida. Una uhuru wa kuchagua ndo maana mtandao iko mingi. Pia hapo kuna wateja wao wamewalenga.

Pia nadhani labda wanarudisha hela za JAY Millions
 
Back
Top Bottom