Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Pata mb 1024,
dakika 145 na 5 mitandao mingine,
sms 500,
kwa tsh 1500 tu kwa wiki na hii ni BABA LAO.
 
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms

Tsh 500= dk 15+250sms+8mb

Tsh 650= dk 30+300sms+8mb

Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb

vodacom kwenda mitandao mingine

Tsh 150= sms 10

Tsh 499= dk 7+300sms+8mb

Tsh 649= dk13 +450sms+8mb

Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb

vifurushi vya wiki voda kwenda voda

Tsh 1050= sms 70

Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb

Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb

Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb

Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb

Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb

vodacom mitandao yote kwa wiki

Tsh 1050= sms 70

Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb

Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb

Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb

Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb



hahahahaha

KWELI VODACOM KAZI NI KWAKO
 
Uwiiiii!!!!!....,jamani hawa Voda nimajanga tuhamie lahewa maana at a ukiweka salio wanakulazmisha kucheka uspo Cheka dakika20 nying washa Fanya house keeping
 
mpea umeongea points nna miezi sita nimehamia airtel na sijutii yani wako vizuri mno
voda ni kwa m pesa tu na kwa kua airtel kwenye money transaction wanazingua ila natafuta simu niweke tigo niwahame voda
siwezi kuitupa maana ndo inatambulika ila VIFURUSHI VYA VODA NI MAJANGAA

Mpwa mbona mi airtel money nadunda tu?

Ila vodacom wahuni Sana sijui jeuri hii wanatoa wapi wapuuzi hawa....
 
majambazi sana voda wameanza kuleta ujaja uja ujizi kwa wale wasio amka.. raia amka nisha ukimbia uwo mtandao ... njoo we uku kw baba airtel yatosha so mchezo furaha ipo uku
 
Nchi hii sharti makampuni ya simu za mkononi yaongezeke yashindane ili iwe naafuu kwa mlaji. Tukipata makampuni 10+ ya simu za mkononi itakuwa poa sana. Airtel wapo vizuri sana.
 
Wanaotumia Airtel piga *149*81# ujipatie Dk 30, Sms 300 na Mb 300 kwa Sh.500 tuu.
 
Halafu bado ukiweka salio linakatwa bila maelezo, hovyo kabisa vodacom. Mimi nina line yao kwa ajili ya matumizi ya m pesa tu na si vinginevyo!

Watakuja huko pia.
 
Mpwa mbona mi airtel money nadunda tu?

Ila vodacom wahuni Sana sijui jeuri hii wanatoa wapi wapuuzi hawa....

mara nyingi hua natumiwa tu ila airtel money usiombe ukosee labda km wamejirekebisha
 
Halafu bado ukiweka salio linakatwa bila maelezo, hovyo kabisa vodacom. Mimi nina line yao kwa ajili ya matumizi ya m pesa tu na si vinginevyo!

Ni kweli mkuu imenitokea Mimi leo Salio limefyekwa baada ya kutuma SMS moja tu
 
Mie naibiwa kila cku Na J milioni yao ambayo sijajiunga nayo.Nimejitoa zaidi ya mara5 lkn wapi wanaiba tu.msaada waungwana nifanyaje.Airtel na tigo huku nilipo minara yao mpaka nikakae mlimani
 
Back
Top Bottom