Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

siku zote hizi mbinu zinaanzishwa na upinzani hasa chadema na cuf kuna wkt kila mkutano mkubwa wa chadema lazima kulikuwa kunatokea mauaji tangu Lwakatare alipokamatwa hatujasikia mauaji kwenye mikutano ya chadema alipouwawa jamaa waliokuwa wakimtumia walilalamika sana leo wameanza tena kulalamika nani asiyejua ukaribu wa Yeriko naSilaa na Mbowe nani asiyejua Yeriko na baadhi ya vijana cdm wameajiriwa na chama icho kupptosha mambo kwenye mitandao na pesa inatoka ujerumani milioni25 kila mwezi kwa kazi hiyo ndiyo maana moja wa gaidi kakutwa na fulana ya M4C

Acha uongo wako hili tukio LA tanga limetengenezwa Bahati mbaya wanatumia uongo wa kitoto sana kuaminisha wtu wazima na akili zao timamu
 
Kuna watu wapumbavu sana,Saizi nch iko katika khari mbaya kwa tishio la ugaidi,video zina sambaa mitandaoni, wapumbavu wengine wanakaa wananyumbulisha ujinga wa Yericko Nyerere na kutengeneza uzi mpya hapa Jf, sas ngoja waue mama yako ndio mtaacha hizi siasa zenu za kipumbavu hizi

ipo siku utakuja kuelewa wewe ndo mpumba## zaidi na huelewi chochote kinachoendelea...upo upo tu hata akijirekodi mtu kamwona yesu utaamini....
 
Acha uongo wako hili tukio LA tanga limetengenezwa Bahati mbaya wanatumia uongo wa kitoto sana kuaminisha wtu wazima na akili zao timamu

mtuambie zile vifo kwenye mikutano ya chadema mliyokuwa mkisingizia polisi siku hizi hayapo ninyi magaidi mnatumika kumwaga damu za watu
 
Mkuu nimeamni kwani natumia airtel na nimekuwa nikinunua 10GB kwa tshs 15,000 kwa mwezi. Jana nimeuziwa 3GB kwa bei hiyo hiyo. Nina mpango wa kuhamia voda bundle ikiisha

ukiwa ujui kitu ni bora unyamaze sisi tulishajua kuwa makampuni ya simu yalikuwa kwenye promotion ya kukupata bandle sms na airtime promotion yao imeisha na sasa ukitaka internet unatakiwa ujinunulie peke yake siyo uunganishiwe mbona naibu katibu mkuu wenu anajua si alikuwa mfanyakazi wa Rostam toka chanel ten na vodaco
 
mtuambie zile vifo kwenye mikutano ya chadema mliyokuwa mkisingizia polisi siku hizi hayapo ninyi magaidi mnatumika kumwaga damu za watu

Vile vifo vyote Polisi ndio walikua wanahusika na wala sio magaidi mfano kifo cha mwangoswa Polisi aliyemuua kapandishwa cheo
 
Kama una sim mbili, sim moja Fanya ni ya Internet tu kwa kununua vifurushi vya bila kikomo then sim nyingine nunua muda wa maongezi kwenda mitandao yote, hapo ndio penye unafuu kwa sasa.

Hii ni njia bora kwa sasa, mimi kwa sasa natumia airtel kwa omg tu na cm nyingine kifurushu cha kuongea. Kwisha kazi
 
WADAU,habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa ccm imeiagiza makampuni ya ccm kupandisha garama za data/internet ili kupunguza mwamko na elimu kwa wananchi katika mwaka huu wa vuguvugu la uchaguzi mkuu na katiba pendekezwa.
nia ni kuhakikisha garama za kupata infomation zinakua kubwa hivyo kumfanya mtanzania wa kawaida iwe ngumu kupata taarifa mbalimbali za mitandaoni kuhusu katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu.

pia tiss imeagizwa kuratibu propaganda mbalimbali za ku-divert attention ya watanzania kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu na kupeleka kwenye propaganda za kuwatia hofu wanannchi mfano mojawapo ni madai ya kuwepo kikundi cha kigaidi kinachoshambulia vituo vya polisi.
nawasilisha
kwa hili la ugaidi usifanye siasa mkuu. zipo hela kibao kuunga mkono ugaidi wa imani kali ya kidini. vijana wenye shida ya ajira wanasombwa kirahisi.. kuna boko haram al shabaab isil etc. angalia video ya hao vijana wa tanga. sioni namna serikali hii inaweza kupandikiza yenyewe kensa ya kuangusha taifa.. tusifanye mzaha ugaidi wa kidini umepiga hodi.
 
Hii ni njia bora kwa sasa, mimi kwa sasa natumia airtel kwa omg tu na cm nyingine kifurushu cha kuongea. Kwisha kazi

Kweli, mimi nafanya hivyo siku zote na pia hua inanisaidia kwenye swala la charge, internet inamaliza chaji sana hivyo simu yenye internet ikizima nabaki na simu ya kupiga na kutuma sms
 
kwa hili la ugaidi usifanye siasa mkuu. zipo hela kibao kuunga mkono ugaidi wa imani kali ya kidini. vijana wenye shida ya ajira wanasombwa kirahisi.. kuna boko haram al shabaab isil etc. angalia video ya hao vijana wa tanga. sioni namna serikali hii inaweza kupandikiza yenyewe kensa ya kuangusha taifa.. tusifanye mzaha ugaidi wa kidini umepiga hodi.

serikali ya ccm iko tayari kufanya lolote kubaki magogoni
 
Vile vifo vyote Polisi ndio walikua wanahusika na wala sio magaidi mfano kifo cha mwangoswa Polisi aliyemuua kapandishwa cheo

gaidi la chadema ndiyo aliyemua mwangosi habib mchange alipowachana live mbona hamjamshitaki na mpangaji wa mauaji alikuwa lwakatare silaa na mnyika mbona tangu lwakatare ashtakiwe hatujasikia mauaji kwenye mikutano ya cdm
 
ipo siku utakuja kuelewa wewe ndo mpumba## zaidi na huelewi chochote kinachoendelea...upo upo tu hata akijirekodi mtu kamwona yesu utaamini....

unavuta wewe si bure,na wewe jireckodi kama you think is a game
 
Mnalalamika Nini kwani mmefungwa Vichwa ,si kuna mitandao mingi tu yrnyr huduma mnazozitaka ni nn kinawanyima kuhama .

1. Tigo

2. Airtell

3. Zantel

4. Smart .

mingi tuu ..hakuna haja ya kuita watu wezi ,hayo ni mazungumzo na makubalianonya kampuni

MKuu umesahhau shirika la nyumbani TTCL.
 
kuna nini kinaenelea jamani kwenye haya makampuni ya mitandao ya simu nchini hasa Vodacom kwa sasa? Gharama ya vifurushi imepanda mara dufu huku wakipunguza dakika na mb?
 
Back
Top Bottom