mpare wa same
Member
- Jan 14, 2015
- 50
- 3
ni kweli mkuu dada yake January makamba miss Mwamvita makamba alishawahi kuwa boss wa kitengo flani kwenye hii kampuni hivyo ni hao hao hawawezi kufanywa lolote zaidi ya kuungwa mkono
Sasa kama tayari Kuna topic inazungumzia hiyo kitu si ni bora tu uyapeleke mawazo yako pale kwenye hiyo hiyo topic?issue sio kuanzisha thread mpya bali nimekerwa mno na huu wixi wa mchana kweupe
Ha ha ha, wewe utakua mgeni humu JF. Anyway, kwakua thread yako washaiunga kwenye thread mama basi sina tatizo.nimeyapeleka ila inaonekana kama una hisa pale vod ndo maanahutaki wazungumziwe hapa JF
Ndugu yangu, yani hata hicho kifurushi cha 1000 utapata dk na sms kibao lkini mb ni 8 tu.
Msipate tabu jiunge na kifurushi cha internet masaa 24 bila kikomo kwa tsh 1000 hiyo2 utafanya mambo yako yote kuanzia kudownload video kwenye watsaap hadi kuangalia video kwenye YouTube tumia hadi wao waseme poooh! Mimi imebidi nifanye hivyo hadi wakanitumia msg eti "ndugu mteja umetumia MB 700 sasa endelea kutumia internet kwa kasi ndogo hadi mda wako utakapoisha " wapumbavu sana
Mkuu hili limekuchomoka au unamaanisha?Nyie si ndo mnaoshabikia Wafanyabishara wakandamizwe na serikali kwa kulipa kodi kubwa? Wacha mkamuliwe kisawasawa.
Internet ya tigo ni majangaz.
View attachment 227197
Cha siku.
View attachment 227198
Cha wiki.
Mimi jamani bora huku Airtel kuna ka unafuu kidogo.
utakuwa wa kijiji wewe.