Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Nyinyi hamjui watu wenye hisa nyingi Vodacom hapa Tanzania? Sisi kanda ya Ziwa hata soda za coca cola tulishasusia tangu mmiliki mmoja kuitumia brand yake hiyo kutunyanyasa katika uchaguzi mdogo wa madiwani kata ya Kirumba 2013.Tumieni mitandao mingine hata SAFARICOM.Vodacom pamoja na kuongoza kibiashara lakini kodi wanayolipa ni kidogo sana kwa nchi hii
 
Na tigo wakuu wamesha badili mfumo wapo kama Voda yaani wamepunguza Dakika na kifurushi cha Data connection.

Jana nimejiunga na extrem ya 1000 nashangaa sijui napata dk ngapi na 8mb hapo nikachoka kabisa yaani.
 
Hamieni Airtel piga kifurushi cha Data kinaitwa OMG kwa buku tu unapata MB 800
 
Kawaulize kwanza wenzako wa ccm wameshakusanya ngapi za kuhonga kanga na kofia ndio hurudi huku

We lazima utakuwa ni Loan Officer upande wa Collections & Recovery wa Chadema....umeshajua mwenyekiti amekusanya % ngapi kwenye hiyo Saccos baada ya kukopesha chama?
 
mkuu kwani hujui muda wa kanga na kofia umefika
 
Vodacom wamepandisha gharama za mawasiliano katika vifurushi vyao ambapo pia wamepandisha gharama za mb. kwa sasa ukinunua kifurushi cha shilingi 1000 mitandao yote unapata dakika 20 badala ya 21 za awali na mb 8 badala ya 100 za awali. mh makamba imulike hii kampuni inayopandisha gharama katikati ya mwaka wa bajeti. tumezoea gharama hupanda kutokana na bajeti je kulikoni voda wizi huu wa mchana kwe
upe
 
mkuu hujui uchaguzi umekaribia pesa za kanga,kofia zinahitajika?
 
Vodacom wamepandisha gharama za mawasiliano katika vifurushi vyao ambapo pia wamepandisha gharama za mb. kwa sasa ukinunua kifurushi cha shilingi 1000 mitandao yote unapata dakika 20 badala ya 21 za awali na mb 8 badala ya 100 za awali. mh makamba imulike hii kampuni inayopandisha gharama katikati ya mwaka wa bajeti. tumezoea gharama hupanda kutokana na bajeti je kulikoni voda wizi huu wa mchana kwe
upe

Tanzania shamba la bibi mkuu wanyonge hawana mtetezi mafuta yameshuka bei lakini nauli zinazidi kupaa hakuna anayeongea
 
mi nishaamaga zamani sana
sina hiyo lain na wala ukiwa na voda sikupigii
 
eti makamba amulike? hujui kama ni yeye ndiye aliyesababisha hayo then anarudi kwetu kujikosha? tupanuke akili.
 
Vodacom wamepandisha gharama za mawasiliano katika vifurushi vyao ambapo pia wamepandisha gharama za mb. kwa sasa ukinunua kifurushi cha shilingi 1000 mitandao yote unapata dakika 20 badala ya 21 za awali na mb 8 badala ya 100 za awali. mh makamba imulike hii kampuni inayopandisha gharama katikati ya mwaka wa bajeti. tumezoea gharama hupanda kutokana na bajeti je kulikoni voda wizi huu wa mchana kwe
upe

Inawezekana hujapitia JF muda mrefu, ila Kuna Uzi tayari ushazungumzia hii kitu. Unaweza ukajiskia raha sana kuanzisha thread mpya, ila ukirudia iliyokwishaanzishwa unatuboa!!
 
issue sio thread mpya balu ni huu upandishwaji wa gharama unaofanywa kila siku na hii kampuni kaka naona ww hujaliona hili kuwa ni jipya kutoka mb 100 mpaka mb 8 ni gharama zipi za uendeshaji zinazoweza kufanya punguzo la mb kwa asilimia zaidi ya tisini na unachangia ujinga
 
Back
Top Bottom