Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Jinga kubwa kabisa.ambaye amesitisha ni halotel tuu.wengine wameshatoa jinsi vifurushi vinavyotakiwa.kwingine wanaweka airtime tu bila SMS wala mb
Anahisi kila kitu ni ushabiki wa vyama vyao hivyo visivyo na mbele wala nyuma.
 
Sasa kama yule mbwiga Mwigulu ndio mshauri wake mkuu wa maswala ya uchumi , unategemea nini Gavana naye ndiokabisaaaaa analewa mpaka anakunya kwenye nguo mnategemea nini kwenye nchi ya namna hii, labda Yesu arudi tena ndio kutakuwa na mabadiliko yoyote, Mama amefeli mapemaaaaa
Mie alivyompeleka Mwigulu Fedha MTU mwenye Tabia za kuumiza, kuua, kutesa nikajua huyu Bibi Tarabushi hata yeye ana roho hiyohiyo anajificha kwenye ushungi.
 
Kwa hii serikali inayoongozwa na CCM tena mwanamke?
Nimeangalia season nyingi sana ya mabadiliko ya vifurushi tangu kipindi kile natumia free internet ya Airtel kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 6 asubuhi.
Usitegemee unafuu wa vifurushi kwa sasa. Nilikuwa natumia sana Tigo lkn tangia mwaka juzi nimeiweka kwenye droo.
Mzee baba kumbe nawe kama mimi,lile bando la Airtel kipindi kile usiku bure ilikuwa poa sana yaani,haitakuja kutokea tena katika maisha yetu hapa duniani......
 
Back
Top Bottom