Mitandao ya kijamii ndio inavujisha mbinu ndio maana anazikwepa yeye na CCM

Mitandao ya kijamii ndio inavujisha mbinu ndio maana anazikwepa yeye na CCM

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha.

Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia.

Umeona kitendo cha kutishia kuwa anaweza kufa kimemfanya kuongeza ulinzi wa hali ya juu ukilinganisha zamani,mpaka na wagaga kutoka kote.

Tukinyamaza kimya wiki moja bila kuweka lolote kwenye mitandao ya kijamii lazima watachanganyikiwa wakitaka kujua What next
 
Watajua wenyewe, wataluka kichurachura mwisho watachoka watalala kifudifudi.
 
Back
Top Bottom