Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,454
- 32,980
Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi.
Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia kofia.
Muda si muda watazamaji wanagota laki +.
Na ukweli hawa hawakunifuata mimi.
Wamemfuata Haji Manara.
Hebu na wewe shuhudia akili za hawa watoto zinavyofanya kazi:
View: https://youtu.be/Lp08epJODXQ?si=zepBASmCIoQTAEs_