Mitambo yangu fact

Mitambo yangu fact

Sitamani kukumbuka yale maisha[emoji38]
Unaweza pata ugonjwa wa moyo kisa kufungua sr[emoji16]
Inaonekana mlikuwa hamsomi vijana. Unaogopaje kuangalia matokeo yako ?

Kuna vitu huwa vinaogopesha au kutia gagaiko na kuogofya si matokeo.
 
Inaonekana mlikuwa hamsomi vijana. Unaogopaje kuangalia matokeo yako ?

Kuna vitu huwa vinaogopesha au kutia gagaiko na kuogofya si matokeo.
Mimi nilikuwa naogopa kuifungua Sr tangu naanza hadi namaliza shule.

Siyo lazima wote tusiogope.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo mitaa gani mkuu?
Ntakuja kuchagua pamba kali nipendeze.

Uzuri mtaani wote tunaanza upya
Yale makaratasi ya shule yanabaki Pembeni,,now tunafuana na mtaa.
Barabara ya sita karib na jengo la Kazimoto.... Uje tukuvishe upendeze.
(Dodoma)
 
We acha tu!
Kuna mahala mtu unafika,unamuomba Mungu somo fulani upate hata C tu[emoji16].

Nguvu na umuhimu wa C unaonekana ukishapata sup[emoji3],unatamani japo ingekuwa C.
Niliwahi pata supp kwa kukosa maksi 0.6

Just imagine nilivyo puch upepo kwa ghadhabu[emoji2]

Yaani hizo 0.6 zingenifanya nipate C ya lile somo gumu
 
Niliwahi pata supp kwa kukosa maksi 0.6

Just imagine nilivyo puch upepo kwa ghadhabu[emoji2]

Yaani hizo 0.6 zingenifanya nipate C ya lile somo gumu
[emoji38]
Kale kafeeling kanakujaga baada ya kugundua una sup[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom