Mitambo yangu fact

Mitambo yangu fact

[emoji23][emoji23] nmeacha historia mkuu.
Ila katibu Elly outfits uje upendeze.

Mambo ya microbiology na pharmacology tumeachia vipanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo mitaa gani mkuu?
Ntakuja kuchagua pamba kali nipendeze.

Uzuri mtaani wote tunaanza upya
Yale makaratasi ya shule yanabaki Pembeni,,now tunafuana na mtaa.
 
Hongera sana mkuu. Kwa sie form two huo ni muujiza.

Cha kushukuru fursa zilizopo zimejiachia sawa kwa yeyote mwenye kujua namna ya kuzitumia na kunufaika nazo. Ndio maana Chennnggee, Kimmmmmei, Msssukuma na Kibajajjaji wote wapo mjengoni.
Yes mkuu, Chenge product ya Havard ile
 
hasa kipindi cha coursework na matokeo, plus sr inakua nzito unaumwa tumbo
Bora hata courseworks nakuwa nishajiandaa kisaikolojia kutokana na mavuno yangu ya tests na assignments.

E bana kitu tokeo[emoji1787]
Sr inakata maini acha kabisa..huku Jasho likitiririka mikononi.
 
Bora hata courseworks nakuwa nishajiandaa kisaikolojia kutokana na mavuno yangu ya tests na assignments.

E bana kitu tokeo[emoji1787]
Sr inakata maini acha kabisa..huku Jasho likitiririka mikononi.
kila ukiwaza sup hauoni mbele kabisa, unaona bora ije ata c
 
kila ukiwaza sup hauoni mbele kabisa, unaona bora ije ata c
We acha tu!
Kuna mahala mtu unafika,unamuomba Mungu somo fulani upate hata C tu[emoji16].

Nguvu na umuhimu wa C unaonekana ukishapata sup[emoji3],unatamani japo ingekuwa C.
 
Back
Top Bottom