Safiii acha asogeze...maisha ..yuko ajira ndiomaisha yanasonga...View attachment 3349662
Kwa wasiojua Masau Bwire ni Mwalimu mahiri wa somo la Hisabati (Mathematics).
Mara nyingi utakuta na simu sita, na tablet juu.
"...zamaniiii, Simba walikuwa wanatisha porini lakini nikashangaa anafukuzwa kwa kwa fimbo...".View attachment 3349662
Kwa wasiojua Masau Bwire ni Mwalimu mahiri wa somo la Hisabati (Mathematics).
Mara nyingi utakuta na simu sita, na tablet juu.