Mitambo yangu fact

Mitambo yangu fact

Mkuu shule ulienda na mkapendana nayo ๐Ÿ˜

Wengine tulikuwa tu shule kupiga mastory na ma pte + makuruti ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ebu weka cheti chako ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hongera sana mkuu. Kwa sie form two huo ni muujiza.

Cha kushukuru fursa zilizopo zimejiachia sawa kwa yeyote mwenye kujua namna ya kuzitumia na kunufaika nazo. Ndio maana Chennnggee, Kimmmmmei, Msssukuma na Kibajajjaji wote wapo mjengoni.
 
Sr ni zaidi ya stress kuifungua wakati wa matokeo.

Wale wa diet,Sr ni diet tosha,,,yaani siku moja tu inapunguza mwili[emoji16]

College gani hiyo mkuu??
Bora hata wewe GPA haikutosha..kuna watu wanadisco kwa kushikiliwa bila kuachiwa.

Sasa si bora washikiliwe ili wasidondoke??
 
Ulikuwa vizuri sana!

Bila shaka ni kabla ya Philipo Mulugo na BRN.
 
Sr ni zaidi ya stress kuifungua wakati wa matokeo.

Wale wa diet,Sr ni diet tosha,,,yaani siku moja tu inapunguza mwili[emoji16]

College gani hiyo mkuu??
Bora hata wewe GPA haikutosha..kuna watu wanadisco kwa kushikiliwa bila kuachiwa.
Hii n College of health and allied science.

Nlikuwa na MD Kabisa ile yenyewe
 
Back
Top Bottom