BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
Ndio maana huku kijijini kwangu hakuna umeme au hitilafu tu?
Ila jamaa kazichota 5b @ m si mchezo
Ila jamaa kazichota 5b @ m si mchezo
Mkataba umeisha, wanatupelekaje mahakamani??
Mkataba nao unasemaje??Hahahahaa!!! Hapana mkataba aujaisha kilicho kwisha kwa sasa ni LESENI ya kufanya kazi tu.
Billion 5... kila mwezi tutaendelea kulipa au? Si hawana leseni?Ruge sio mmiliki tena wa IPTL...aliuza share zake kwa Singa.
Na hii mitambo haifanyi kazi kwa sasa. Haijazimwa kwa maana ya hoja.
Mitambo hii huwashwa pale tu tunapokuwa na upungufu wa umeme unaozalishwa na Tanesco...sasa hivi hakuna upungufu hivyo hautumiki.
Hata ukirudi lakini turakuwa tushaachana na mnyonyajiKwa hiyo mgawo (wa umeme) unarudi au vipi?
Sent from my Kimulimuli
Officialy july 15 mkataba kati yao na serikali unafika kikomo.So akuna kesi hapoSawa ila tusipate mgao wa umeme au baadae tusijepelekwa mahakamani kudaiwa
Billion 5... kila mwezi tutaendelea kulipa au? Si hawana leseni?
Kwahiyo mkataba mpya vipi
Post sent using JamiiForums mobile app
Officialy july 15 mkataba kati yao na serikali unafika kikomo.So akuna kesi hapo
UsitudanganyeRuge sio mmiliki tena wa IPTL...aliuza share zake kwa Singa.
Na hii mitambo haifanyi kazi kwa sasa. Haijazimwa kwa maana ya hoja.
Mitambo hii huwashwa pale tu tunapokuwa na upungufu wa umeme unaozalishwa na Tanesco...sasa hivi hakuna upungufu hivyo hautumiki.
Kampuni ya IPTL iliingia mkataba na Serikali mnamo 26 May, 1995; Kampuni hii ilikuwa na jukumu la kuuza umeme kwa TANESCO ktk kipindi cha dharura ya umeme kwa muda wa miaka 20. Mitambo ya IPTL ina capacity ya kuzalisha Megga Watt 100 (100Mw). Hivyo basi Mkataba ulikuwa ufikie mwisho wake rasmi mwaka 2015. Lakini inaelekea kulikuwa na figisu figisu zilizowezesha IPTL kuendelea kutafuna fedha za TANESCO hadi majuzi hawa vibaka ( Harbinder Seth & Ruge) waliposhtukiwa. IPTL ni muunganiko wa kampuni mbili yaani Kampuni ya MECHMAR ya Malaysia ikisimamiwa na Seth (70% ya share) na VIP Engineering ya Ruge (30% ya share).Usitudanganye
Umeambiwa mkataba wao uliisha july 15, waliomba kuongezewa muda wa mkataba kwa miezi 55 lakini mamlaka za juu zimekaa kimya.
Hivyo hawawezi kuendelea kuungurumisha wakati hawana mkataba na serikali...
Ni hela zenu hivyo anajua anatoa 0.5 tu ya pato lake.!Huyu singa singa anamapungufu yake hila katika kulipa wafanyakazi hana ubahili analipa vizuri sana sio km wahindi wengine wanaotupiga halafu wanalipa mishahara haikutani na muathirika mkubwa atakuwa davis mosha ndiye alikuwa supplier wa mafuta mazito yale meusii