Mitambo IPTL yazimwa, wakwama kufanya biashara ya umeme

Ndio maana huku kijijini kwangu hakuna umeme au hitilafu tu?

Ila jamaa kazichota 5b @ m si mchezo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ruge sio mmiliki tena wa IPTL...aliuza share zake kwa Singa.
Na hii mitambo haifanyi kazi kwa sasa. Haijazimwa kwa maana ya hoja.
Mitambo hii huwashwa pale tu tunapokuwa na upungufu wa umeme unaozalishwa na Tanesco...sasa hivi hakuna upungufu hivyo hautumiki.
Billion 5... kila mwezi tutaendelea kulipa au? Si hawana leseni?
 
Huyu singa singa anamapungufu yake hila katika kulipa wafanyakazi hana ubahili analipa vizuri sana sio km wahindi wengine wanaotupiga halafu wanalipa mishahara haikutani na muathirika mkubwa atakuwa davis mosha ndiye alikuwa supplier wa mafuta mazito yale meusii
 
Ruge sio mmiliki tena wa IPTL...aliuza share zake kwa Singa.
Na hii mitambo haifanyi kazi kwa sasa. Haijazimwa kwa maana ya hoja.
Mitambo hii huwashwa pale tu tunapokuwa na upungufu wa umeme unaozalishwa na Tanesco...sasa hivi hakuna upungufu hivyo hautumiki.
Usitudanganye
Umeambiwa mkataba wao uliisha july 15, waliomba kuongezewa muda wa mkataba kwa miezi 55 lakini mamlaka za juu zimekaa kimya.

Hivyo hawawezi kuendelea kuungurumisha wakati hawana mkataba na serikali...
 
Kampuni ya IPTL iliingia mkataba na Serikali mnamo 26 May, 1995; Kampuni hii ilikuwa na jukumu la kuuza umeme kwa TANESCO ktk kipindi cha dharura ya umeme kwa muda wa miaka 20. Mitambo ya IPTL ina capacity ya kuzalisha Megga Watt 100 (100Mw). Hivyo basi Mkataba ulikuwa ufikie mwisho wake rasmi mwaka 2015. Lakini inaelekea kulikuwa na figisu figisu zilizowezesha IPTL kuendelea kutafuna fedha za TANESCO hadi majuzi hawa vibaka ( Harbinder Seth & Ruge) waliposhtukiwa. IPTL ni muunganiko wa kampuni mbili yaani Kampuni ya MECHMAR ya Malaysia ikisimamiwa na Seth (70% ya share) na VIP Engineering ya Ruge (30% ya share).
Ni kweli hawawezi kuendelea kuungurumisha mitambo yao ya kuzalisha umeme bila ya kupewa go ahead (mkataba).
 
Huyu singa singa anamapungufu yake hila katika kulipa wafanyakazi hana ubahili analipa vizuri sana sio km wahindi wengine wanaotupiga halafu wanalipa mishahara haikutani na muathirika mkubwa atakuwa davis mosha ndiye alikuwa supplier wa mafuta mazito yale meusii
Ni hela zenu hivyo anajua anatoa 0.5 tu ya pato lake.!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom