Mitaa/vitongoji/vijiji vya Tabora

Cheyo
N’gambo (Hapo ndo warembo wengi huwa wanatokea mitaa hii, ila tatizo nyumba nyingi za eneo hili zimewekewa mawakili zisianguke)
Itetemya (Wenyeji huita Itetemia)
National
Kiyungi
Chem chem (Kama vile N'gambo)
Mwinyi
Kitete
Kanyenye
Uhazili
Bachu
Gongoni
Isike
Check line (wenyeji wa tabora wainaita chekeleni)
Tumbi
Mihogoni
Bigwa
Igombe
Misha
Shitage
Mguluko
Milambo
Mihayo

Baaasi, imetosha! Usinifanye nitoe chozi! Unanikumbusha nyumbani:
Kiloleni A (a.k.a Mapambano)
Kiloleni B (a.k.a Ghana)
Ikindwa,
Ibhelamagaye.
Masagala
Kakola
Misha
Inonelwa,
Mbola
Kasisi
Kigwa
Isikizya
Tukutuku
Ng'ambo (mitaa ya vilabu vya pombe za kienyeji na nyama choma
Isevya na Ipuli hali kadhalika
 
Ahhh, Mbona sisikii vijiji vya Sikonge? Elnino uko wapi Mkuu?

SIKONGE (Usupilo, Misheni, Madukani...........) , Kisanga, Mlogoro, Mkolye, Tumbili, Igigwa, Mole, Tutuo, Ntankwa, Kasisi, Chabutwa (kumwa Nkeki), Pangale, Kipanga, Kiloleli, Mibono (Langwa), Usunga, Ukondamoyo, Lembeli, Utyatya, Kitunda, Imalampaka, Imalampazi, Igalula (Ya Sikonge), Lukula, Iwensato, Ngoywa, Mwanisenga na Mkinga. Kuna sehemu nimesahau......??????
 
Tabora by night
Orion
Golden eagle
Wadadu
Maua bar
Game
Ziro
Byaba's
Sonda's
John mongi
Las Vegas
People's
Ramka
Vatican n.k
 
Tabora by night
Orion
Golden eagle
Wadadu
Maua bar
Game
Ziro
Byaba's
Sonda's
John mongi
Las Vegas
People's
Ramka
Vatican n.k

Umesahau Rufita club
Orion zamani ilikuwa Tabora Hotel (ipo karibu na shule yangu - Kazima Secondary 1995-1998)
Mayor Hotel
 
Ahhh, Mbona sisikii vijiji vya Sikonge? SIKONGE (Usupilo, Misheni, Madukani...........) , Kisanga, Mlogoro, Mkolye, Tumbili, Igigwa, Mole, Tutuo, Ntankwa, Kasisi, Chabutwa (kumwa Nkeki), Pangale, Kipanga, Kiloleli, Mibono (Langwa), Usunga, Ukondamoyo, Lembeli, Utyatya, Kitunda, Imalampaka, Imalampazi, Igalula (Ya Sikonge), Lukula, Iwensato, Ngoywa, Mwanisenga na Mkinga. Kuna sehemu nimesahau......??????

Ipole, Msuva!
 
Last edited by a moderator:
Yaani mmesahau nlipotekea mimi!!!
Mwamala,
Lububu,
Itobo,
Buhondo,
Senge,
Chamingh'wa
Ishinde,
Karitu,
Nawa,
Ijanija,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom