Mitaa korofi na hatari mikoani

iringa kuna kitu inatwa Kitanzini ni weka mbali na wakubwa...
 
TABORA-Ng’ambo,Kiloleni maeneo ya check line, Mwanza Road,Chem chem, Miogoni (wanaua sana madereva wa boda boda na kuwapora piki piki), Isevya na Ipuli hii ya mwanzo mwanzo karibu na Isevya.
 
Daaahh..mim nipo moro huku maeneo ya turian yn cku hku usipite mishale ya saa mbili kwny msitu wa mitiki lzm utekwe yan boda boda wanalia kwel lkn kama samaki vile......
 
Kilosa mtaa hatari ni SHAURIYAKO...umeitwa Shauriyako kwa maana litakalokukuta ni lako peke yko..
 
tabora mwanza road hasa ukivuka reli jirani na kiwanda cha nyuzi hatari sana
 

!
!
dah, ile njia ni soo sana ile. Yaani unapigwa tukio jamaa wanakatiza uwanja wa gofu wanatoboa mtoni wanatokea boma road, wanaingia mtoni stree wanatokea sultani area au vibandani wanatokomea misufiniiiii au chamwino kudadadeki.
 
Dar es salaam: Magogoni - Karibu na ka jamaa kanasafiri sana kanaitwa Kikwete
Dar es salaam: Oysterbay - Ni hatari sana karibu na kwa jamaa anahamasisha 'wapigwe tu'
 
siku hizi hadi masaki/obay watu wanaporwa
Huko ndo kubaya sana siku hizi. Si unajua diplomats wengi wanaishi huko? Baso vibaka wanavizia wanapokua wanatembea kwa miguu ile jioni, wao vibaka wanakuwa na bodaboda ama magari
 
Maeneo ya feri kuna Nchi inaitwa Lebanon hapo sio salama kabisa..yaani ni karibu kabisa na Iku.lu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…