Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

Naona watu wameng'ang'ana kwenye Mira kubwa . LAkini Jamaa anajibu bado wanarudi palepale. AMEKWISHA SEMA UKIJAZA MITA KUBWA INAUNGWA NA MITA YAKO NDOGO KWA KUTUMIA LINE YAKO ya simu (JE ZA TANESCO MITA NDOGO ZINA LINE!!?? hivyo haziwezi Kuwa sawa ) .
 
Suala hapo ni vipi mita ya tanesco itaitambua mita yng katika mita tatu zilizopo,...coz lini iko kwenye mita na nikinunua umeme na tumia namba za mita ya tanesco. Swali utafikaje kwenye mita yng hali ya kuwa hakuna maelezo ya kufanya ilikuitambua miter yng...mfno anakula mama lakini mtoto tumboni anapata lishe pia kupitia mifumo ya uzazi....sasa hapa mita kuwa inampaje mita ndogo
 
Naona watu wameng'ang'ana kwenye Mira kubwa . LAkini Jamaa anajibu bado wanarudi palepale. AMEKWISHA SEMA UKIJAZA MITA KUBWA INAUNGWA NA MITA YAKO NDOGO KWA KUTUMIA LINE YAKO ya simu (JE ZA TANESCO MITA NDOGO ZINA LINE!!?? hivyo haziwezi Kuwa sawa ) .
mimi nimemuelewa shida 180k kubwa apunguze
 
Kwa maana hiyo umeme ni lazima ninunue kwa kutumia simu yangu ndio uingie kwangu peke yake?Nachotaka kujua ni hiyo processs ya kununua umeme,unanunuaje kwa kutumia hiyo line yangu,ili nitakapoweka kwenye mita kubwa iweze kujua kuwa ni mimi ndio nilieweka umeme na sio mpangaji mwingine...?
 
Mita zinatumia line (line za simu)hii ndiyo inatoa utambulisho wa mita yako, pia mita zenyewe zina amba zake (kama zilivyo tu za Tanesco, kila mteja anakuwa na data base yake ukinunua umeme mteja wa mita namba 1, umeme utaingizwa kwako wewe wa namba 1, uhakiki wa ukweli wa units na mita gani uingizwe ni kazi ya kimfumo ya mita zenyewe.

Tanesco hawahusiani na mita hizi ila kununua umeme utalazimika kukunua kupitia mita yao kama kawaida.
Unanunuaje umeme wa TANESCO?

Maana mfumo wa manunuzi wa umeme wa TANESCO hauna nafasi ya mnunuzi kuweka namba ya mita yenu au namba ya line ya simu mnayoweka kwenye mita yenu.

Nieleweshe connection ya muamala wa kununua units TANESCO na kuziingiza kwenye mita yenu inafanyeje kazi?
 
Back
Top Bottom