Wana Jamiiforums naomba wenye kujua mshereheshaji (MC) awe wa kike au kiume ambaye yuko mahiri katika fani hiyo kabila lake awe ni MPARE halisi naomba ani PM. Haijalishi yuko sehemu gani ndani ya Jamhuri yetu hii ya Muungano wa Tanzania.
Naombaeni tafadhali
Naombaeni tafadhali