Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,039
Hahahahahaha
Klorokwini wa ubani nimekusikiaaaa. .
Hofu ulonayo naomba ondoaaaa. . .
Wa kunichukua sijamwona, hata ukishindwa ntagoma!
Haki siwezi acha matamu unayonipatiaaa. . .
Nikukimbie kisa uchochoroni wamekuviziaaaa. . . pamoja wakakuchangiaa. . .
Bado wakunichukua sijamwona, wewe tu ndie shujaa!
They say I gotta learn, but nobody's here to teach meLil Wayne - Mirror
Look at me when Im talkin
to you
You looking at me but Im
lookin through you
I see the blood in your eyes
I see the love in disguise
I see the pain hidden in your
pride
Baba asema, taratibu mwana
Hofu yako nini, hadi umsikize Klorokwini
Chonde chonde, asije kuwa yule jini mapembe
Kama yule wa Ukenyenge
They say I gotta learn, but nobody's here to teach me
if they can't undersstand it, how can they reach me
I guess they can't, I guess they won't
I guess they front, that's why I know my life is out of luck fool!
COOLIO - Gangstar paradise
Kuna ule wimbo unaimba "Kama unaweza, panda ukazibe!Hata kwa ngazi ndefu (?panda kwa ngazi ndefu) "nao unahusu mtu kuziba riziki ya mwenzie.
Hahahahahaha
Klorokwini wa ubani nimekusikiaaaa. .
Hofu ulonayo naomba ondoaaaa. . .
Wa kunichukua sijamwona, hata ukishindwa ntagoma!
Haki siwezi acha matamu unayonipatiaaa. . .
Nikukimbie kisa uchochoroni wamekuviziaaaa. . . pamoja wakakuchangiaa. . .
Bado wakunichukua sijamwona, wewe tu ndie shujaa!
Hahahahaha. . . eti jini mapembe!!
Baba , baba chukua kiti ukae. . .
Kaaa chini nikuelezeee, tafadhali unisikie!
Hukumu usitoe. .pasipo kunipa nafasi. .
Klorokwini umjue, moyo wangu uuelewe, matakwa yake uukubalie!
Uko deep sana!
Kwa ambaye anapenda mnanda acheki hii hapa chini
Ferooz ft. Shaz Dear - Ndege Mtini.{Official Video} - YouTube
Treach Verse - Aaliyah Ft Treach - Girl Like YouNelly - Ride with me
Yo I know somethin you don't know. . . and I got somethin to tell ya. . .
You won't believe how many people straight doubted the flow. . ., most said that I was a failure
Butt now the same mutha ****az askin me for dough
and i'm yellin I can't help ya.
Hehehe!! Jibaba huo wimbo naupenda sehemu hiiJibaba weka vitu, yaani hii nishaipiga kama mara 20 still naiona mpya
unaitwa zumbukuku
wanifanyia ukwere zumbukukueee
ili nione uchungu zumbukukueee
hapa ni maji marefu zumbukuku eee
Hahahahaha. . . eti jini mapembe!!
Baba , baba chukua kiti ukae. . .
Kaaa chini nikuelezeee, tafadhali unisikie!
Hukumu usitoe. .pasipo kunipa nafasi. .
Klorokwini umjue, moyo wangu uuelewe, matakwa yake uukubalie!