figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,641
..... Now That We Found Love What We Gonna Do With It x 100
Song? now we hav found lov ... orign version third world!
mkuu mbona unanizodoa bule jamani? mi ni mtu wa mia lakini buk4 naitaka pia. hahahaaa...mia
How Do You Want It..... 2Pac Shakur. Feat. Kci & Jojo
..... " How do you want it,
How do you feel,
I'm coming out as a figganigga in the cash game,
I'm living in the fast lane,
I'm For real ! ... "
Mie wanikumbusha zamani Lizzy, enzi hizo
Chura nakuulizia, unipe jibu makini
kwa kila ijapo mvua, wakimbilia bwawani
Mwanzo nilikudhania, umlinzi kisimani
mtu utamzuia, maji akishatamani
akaja dada Rukia, na ndooye mkononi
chura ukajing'atua, ukajitosa pembeni
Spesho day sindo leo?
Hivi "kazi yangu ya dukani" ni mchiriku ehh?
mkinijibu mume wenu
msiponijibu mnaniogopa....lol
One More Chance - Notorious B.I.G
"While I'm swimmin in ya women like the breast stroke, right stroke, left stroke was the best stroke, death stroke - tongue all down her
throat"
Cheki nyonga zinavyonyongwa na kuzungushwa. Gaijin upo hapo?
Wimbo huu au shairi!?
Sapraiz sapraiz....haya nasubiria.Leo itakuwa haina ladha, nataka nikusapraiz.
Kazi ya dukani ni mchiriku lakini kaupiga slow sana, mchiriku unatakiwa uwe 120Km/hour halaf ukiusikilizia kwa mbali utagundua ameuchanganya na mahadhi ya mchujo wa chakacha , lakini still umetulia kiaina yaani
Omary - Majaliwa - YouTubeSapraiz sapraiz....haya nasubiria.
Nipe jina la wimbo wa mchiriku wa ukweli nisikilize.
Ohoooo!!!Siku hizi mafumbo na vijembe ndio muhimu!!Nyimbo za zamani
zilikuwa na mizani na vina
Taarabu ya mwaka 1983
Scared money don't make no money,
If I ever go broke, I'ma take your money, I ain't never dropped a dime, you
Ain't gon' take nuhtin from me, I'm in the hood every day. I'm good, what I say?
Bitch I'm a bossssssss
Sapraiz sapraiz....haya nasubiria.
Nipe jina la wimbo wa mchiriku wa ukweli nisikilize.