Mistari bomba ya sitaki mbichi hizi

Mistari bomba ya sitaki mbichi hizi

Mwanaume miaka 40 huna hata nyumba!!!!
 
Ulikoijolewa shahawa kichwani ndo maana huna nywele kichwani
 
Mwanamke anamwambia mwanaume:'' ukimuona bwanangu wewe mwenyewe utatamani akutongoze''
 
Mwanamme; katika wanawake na wewe upo? Wakati alikua anaku2pia misifa kedekede. Mwanamke; kwanza i'm not your type, na kwa taarifa yako Kayumba {mtoto wao} sio mwanao.
 
Lol! Hivi unadhani wewe una hadhi ya kutoka na mimi, muone kwanza na miguu yako yote ya kushoto, Kha! Sura kama unakunya, nitokee huko mie
 
Mwanaume:
Demu utakuwa wewe, ukichojoa nzi tupu!!!

Mwanamke:
Kuna shepu za kutoka na mimi sio wewe mwanaume suruali
 
wanaume;
unatembea ka unasukuma trekta,matege kama yule demu wa kwenye shooting ya HABARI NDIO HIYO,mkorogo ful hadi Maimartha na wema wanasubiri,shepu mchina unakubeba,pamba bila mtumba ungeaibika mjini,hiyo blackbery umeazima kwa jiran,TRULY FAKE TRULY YOU,kuliko wewe bora niwe bachelor
 
mme: ndio maana majimatupu

mke: kibamia mkubwa, bao lenyewe kwa mbinde
 
Wanaume: Dem mwenyewe sura kama unajiaandaa kuruka mtaro.Hivi unategemea miniache mambo yangu ni date na ngedere kama wewe??


Hii funga kazi yaani jamaa kaona amtoe na utu wake kabisaa amuite Ngedere,nimecheka kwa sauti mpaka naona aibu hapa......
 
Loh mwanamme mwenyewe yule Bure ghali,sura yake kama anatumbuliwa jipu..hata kama nihizo pesa kwa pale nimezisamehe shosti...
 
Wanaume:demu mwenyewe miguu akienda kama anarudi hivi wadhan naweza mtokea demu ana sura ka anapuliza moto....,......kwa mademu:mwanaume mwenyewe kibamia,hv wadhan naweza toka na chai jaba jisura la kutisha watoto walale
Miguu yote ya kushoto!
 
Back
Top Bottom