Wanaume:demu mwenyewe miguu akienda kama anarudi hivi wadhan naweza mtokea demu ana sura ka anapuliza moto....,......kwa mademu:mwanaume mwenyewe kibamia,hv wadhan naweza toka na chai jaba jisura la kutisha watoto walale
mwanamke uwe wewe!
watu tumeona wanawake bwana!
yani mi na akili zangu zoote ulijua nakutaka kweli!
kwa taarifa yangu nina demu mkali ukimuona mwenyewe utajiona choo!
yani kutwa kuzima ulijua naweza kudate mwanamke kama wewe!
alikuwa anantaka!
hawa ni ME
KE sasa we!
kwanza mwanaume mwenyewe kibamia
ah nipishe kule mtu mwenyewe chapati kwanza
umenionaje kwani?
ahahhahahhahahhah watu wana mineno mbofumbofu wakiamua mweh!
Mpaka wakati anafahamu kwua ni kibamia, ina maana atakuwa ameshaliwa tayari, siyo?Wanaume:demu mwenyewe miguu akienda kama anarudi hivi wadhan naweza mtokea demu ana sura ka anapuliza moto....,......kwa mademu:mwanaume mwenyewe kibamia,hv wadhan naweza toka na chai jaba jisura la kutisha watoto walale
Mpaka wakati anafahamu kwua ni kibamia, ina maana atakuwa ameshaliwa tayari, siyo?
Aishie zake huko, aniache na kibamia changuzaidi ya mara moja
Aishie zake huko, aniache na kibamia changu
Wanaume: Dem mwenyewe sura kama unajiaandaa kuruka mtaro.Hivi unategemea miniache mambo yangu ni date na ngedere kama wewe??
Lol, i was just teasing u. Siwezi kutoka nawe.