Jinsi wanaume wanavyosafisha kiwi cha macho....!

Jinsi wanaume wanavyosafisha kiwi cha macho....!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,441
attachment.php

Hapa mwanaume anatupia macho kwa mbali.....

attachment.php

Hapa anatupia macho kwa nyuma.....

attachment.php

Hapa anatupia macho kwa karibu zaidi huku udenda ukimtoka.......
A%20S%20tongue.gif

CC: Asprin, Vin Diesel, jouneGwalu, Kaizer, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, mwekundu, Elli, Bujibuji, Kipaji Halisi, Mentor, Ruttashobolwa, Arushaone, LiverpoolFC, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Mr Rocky, Eiyer
 
Attachments

  • ustaadhi 4.JPG
    ustaadhi 4.JPG
    329.1 KB · Views: 3,174
  • ustaadhi 2.JPG
    ustaadhi 2.JPG
    314.1 KB · Views: 3,205
  • ustaadhi 3.JPG
    ustaadhi 3.JPG
    343.9 KB · Views: 3,284
hahahaaaaaaaa Mzee mwenzangu kuna kale ka-technic kengine pia ni kazuri sana hasa ukiwa na mwenye mali, all you need to do ni kumponda huyo unaetaka kusafisha Kiwi cha macho; please it is very useful yaani all you need ni kumwangalia halafu unamwambia mwenye Mali "yaani wananwake bhana hebu sasa ona yule kavaaje vile? " au unatafuta namna nyingine kadiri utakavyoona inafaa "Nitakununulia gauni/top au jinzi kama ile au napenda rangi kama ile, i wish ungevaa wewe" yaani hapo kesi yote kwisha na mwenyewe utakua umeridhika hahahahaaaa tatizo sasa wakiwa wengi kila saaaa utashindwa itabidi upunguze frequency
 
Hii mahali ka vile ni Tanga Barabara ya 11 hivi na hata hayo mavazi na hao watu walivyo warembo, Duh kuna wanaume wanahudumia aisee hadi ananona hivyo???!!! Huyo Mmoja anafanana sana na Mpwa wangu Paloma akiwa na tinna cute wanakata mitaa ya Mwananyamala
Ulijuaje mkuu,?
Hapo ni Tanga Line lakini sio barabra ya 11, nilikuja huko mwezi uliopita kusafisha kiwi cha macho kwa totoz wa Kitanga.....
 
ati wanasema mwanamke aliumbwa kwa ubavu wa mwanaume, mwanaume alilala chini (na ndio maana ni rahisi mwanamke kumshinda mwanamke akiwa amelala alipoamka kugeuka akaona mwanamke na kwa mshangao mkubwa akasema "wo-man" ndio neno woman na ndio sababu wanaume wakiona wanawake lazima wageuke (kuhakikisha na 0713, japo si aghalabu kwa wanawake kugeuka waonapo wanaume

eti wanasema oia ubavu wa mwanaume ulipungua tangu siku hiyo
 
hahahaaaaaaaa Mzee mwenzangu kuna kale ka-technic kengine pia ni kazuri sana hasa ukiwa na mwenye mali, all you need to do ni kumponda huyo unaetaka kusafisha Kiwi cha macho; please it is very useful yaani all you need ni kumwangalia halafu unamwambia mwenye Mali "yaani wananwake bhana hebu sasa ona yule kavaaje vile? " au unatafuta namna nyingine kadiri utakavyoona inafaa "Nitakununulia gauni/top au jinzi kama ile au napenda rangi kama ile, i wish ungevaa wewe" yaani hapo kesi yote kwisha na mwenyewe utakua umeridhika hahahahaaaa tatizo sasa wakiwa wengi kila saaaa utashindwa itabidi upunguze frequency

Mama Ngina hilo somo haliwezi kumuingia aisee...
Kingenuka tu mpaka nyumbani
 
hahahaaaa siwezi kusahau ukweni Mzee, ntapigwa faini. Duh basi hio ni Mabatini, Kwanjeka, hahahaaaa Tanga Raha
Ulijuaje mkuu,?
Hapo ni Tanga Line lakini sio barabra ya 11, nilikuja huko mwezi uliopita kusafisha kiwi cha macho kwa totoz wa Kitanga.....
 
niliwahi kusoma boys ,au wote waliosoma boys halafu iko porini wanaelewa namaanisha nini, Yaani ukirudi likizo nyumbani hata mdada awe mbayaaa. utamkodolea tu mimacho kwa sababu ya ugwadu ,Mungu wa ajabu sana ameumba tuwe tunawaona hao watu hata kusuuza tu roho kwa macho inatosha

zWjcMNFurIkAAAAASUVORK5CYII=
 
Hii mahali ka vile ni Tanga Barabara ya 11 hivi na hata hayo mavazi na hao watu walivyo warembo, Duh kuna wanaume wanahudumia aisee hadi ananona hivyo???!!! Huyo Mmoja anafanana sana na Mpwa wangu Paloma akiwa na tinna cute wanakata mitaa ya Mwananyamala

mpwa Elli una mambo..................haya huyo paloma ni yupi kati ya hao wawili???
ukipatia nasaula hapahapa.............
 
Last edited by a moderator:
Udhalilishaji tu wa akina dada! We ungepigwa picha ivo af ukapostiwa hapa bila idhini yako na hata kama sura yako haionekani ungefeel vip! Kama sio ubinafsi dada zenu mbona hamuwapigi picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom