Miss wa Kinyaru- Heri mimi sijasema....!

Miss wa Kinyaru- Heri mimi sijasema....!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,441
Nya-Lee-download-378x414.jpeg



miss wa kinyaru
ukivaa namna hii siku ya JF Party utasababisha Kimbwaimbwai, ama kweli Iringa kuna maembe dodo..........

CC: Asprin, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Mentor, Bujibuji, jouneGwalu, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza
 
Last edited by a moderator:
Kaka seem unaihusudu sana hii nchi ya mzee wa kuhit...bwana toll maana haipiti siku pasi kutupia mawili matatu toka huko! Nakumbuka na ile safari yako...
 
Kaka seem unaihusudu sana hii nchi ya mzee wa kuhit...bwana toll maana haipiti siku pasi kutupia mawili matatu toka huko! Nakumbuka na ile safari yako...
Napakumbuka sana Kihesa
We acha tu ndugu yangu kuna maembe dodo usipime.....
 
kwa watu amabao CC zetu ni less than 1500 huu mziki hatuwezi kuucheza,labda tufunge turbo kabisa au tuwaachie wenye 1800 cc
 
Bro naona ushalewa asubuhi yote hii....

Huyo mtoto wa Kichaga aliyechanganya na uarusha, si unaona rangi hiyo!!

Iringa watu wa stress hawawezi kutunza rangi na mbinuo wa namna hiyo..... Naomba kulindwa pliz!!
 
Last edited by a moderator:
Ntaenda shooters this weekend ntakutana naye tu....nimesham-mark
 
Kaka Mtambuzi wala sitavaa hivyo sitaki kuleta kimbwaimbwai aisee, ila ngoja nifikirie maana nimepanga kuvaa kimini na kimini nahisi yanaweza kuwa majanga zaidi. hapana nitavaa kiafrika zaidi. lakini mimi sio embe dodo, mimi nimezeeka eti,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom