Miss universe 2010: Hellen dausen photos

pic-2.jpg
 
Niliwahi kumwuliza jaji mkuu wa miss Tanzania, bwana Shah, vigezo vinavyotumika kumpata mshindi na kuniambia yafuatayo: 'shape' na 'size' ya mwili, urefu kwa kimo, size ya hips, n.k. Hii ilinipa hisia kuwa mashindano haya yanaanzia kwingine - ndani ya chumba hivi bila watazamaji - na kuishia pale kwenye jukwaa kwani vigezo vingine vinahitaji kupimwa kwa 'tape measure'. Huyu Maria Sarungi labda anawapiga za kichina! Tafadhali tuleteeni ya wa Maria Sarungi hata moja.
 
Mungu kweli kazi ya mikono yako ni ya ajabu......

stunning beautiful!!!!!
 
HII PICHA MGUU UMEELEKEA KUSHOTO NA MKONO UKO JUU YA PAJA
SASA ANGALIA HII YA CHINI

pic Patches.JPG pic-4 patches.JPG
HAPO NILIPOPAZUNGUSHIA RED.,NI MACHO YANGU au? SIDHANI KAMA NI MWANGA ULIOPENYA KWENYE KIMVULI.HIZO PATCHES[an area of altered skin coulor] ZIPO MBILI WITH CLEAR visible Demarcations. SASA SIJUI TATIZO NI NINI?<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
<o:p></o:p>
SOMETHING MUST BE DONE.,,SABABU KUNA HATARI YA KUNYANYAPALIWA NA WENZAKE WAKIDHANI KUWA NI UGONJWA WA NGOZI WA KUAMBUKIZA.HASA KWENYE KUSHARE AU WAKATI WA KUOGELEA NA KUKUMBATIANA.<o:p></o:p>
<o:p></o:p>
<o:p></o:p>
HAYO MABAKA PIA YANAWEZA KUTUMIKA KAMA VIGEZO VYA KUMUATHIRI KISAIKOLOJIA.ILI APOTEZA MWELEKEO,NA HATIMAYE KUPOTEZA USHINDI.
SINA lengo la kumdhalilisha au kumkejeli NISIELEWEKE VIBAYA
NI MAONI TU NA MTAZAMO WANGU<o:p></o:p>
 
mFUKUNYUZI UKIMUANGALIA HUYU DADA NA AVATAR YAKO NI COPY KABISA, AU NI WEWE MWENYEWE NINI? TUAMBIE TUKUPE ONGERA ZETU
 
HII PICHA MGUU UMEELEKEA KUSHOTO NA MKONO UKO JUU YA PAJA
SASA ANGALIA HII YA CHINI

View attachment 9996 View attachment 9995
HAPO NILIPOPAZUNGUSHIA RED.,NI MACHO YANGU au? SIDHANI KAMA NI MWANGA ULIOPENYA KWENYE KIMVULI.HIZO PATCHES[an area of altered skin coulor] ZIPO MBILI WITH CLEAR visible Demarcations. SASA SIJUI TATIZO NI NINI?<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
<o:p></o:p>
SOMETHING MUST BE DONE.,,SABABU KUNA HATARI YA KUNYANYAPALIWA NA WENZAKE WAKIDHANI KUWA NI UGONJWA WA NGOZI WA KUAMBUKIZA.HASA KWENYE KUSHARE AU WAKATI WA KUOGELEA NA KUKUMBATIANA.<o:p></o:p>
<o:p></o:p>
<o:p></o:p>
HAYO MABAKA PIA YANAWEZA KUTUMIKA KAMA VIGEZO VYA KUMUATHIRI KISAIKOLOJIA.ILI APOTEZA MWELEKEO,NA HATIMAYE KUPOTEZA USHINDI.
SINA lengo la kumdhalilisha au kumkejeli NISIELEWEKE VIBAYA
NI MAONI TU NA MTAZAMO WANGU<o:p></o:p>

Nadhani fani ya picha unaichua sana, +ve observation, uchunguzi unahitajika pia huenda ni palstic surgery na kama imetokea tu anapaswa kujengwa kisaokolojia. Pia kumuona doctor kabla hajaenda kwenye mashindano makubwa ni muhimu.
 
They are Very Very Cute...Mchangia aliye chambua picha pale....Ukaingalia picha imepigwa chini ya mti kama ni beach vile...so mti ule una matawi kwa juu ambayo yanapenyeza mwanga kidogo kwenda kwa mwanadada mrembo...so ndio maana unaona kama vile ana ngozi yenye matatizo..ila I hope ni mzima kabisa...
 
Back
Top Bottom