Miss universe 2010: Hellen dausen photos

Its amazing. Amependeza sana kwa kweli. Hope atatuwakilisha vizuri huko kwa wazungu....
 
Anafaa. She is beautiful. Lakini ilikuwaje wakamchagua yule mhindi kuwa Miss TZ. Sasa hivi anawakilisha India hivi kweli kwanini hatujasikia statement yoyote toka kamati ya miss Tanzania?
 
Msi mharibu tu mtoto, Maana hapa itakuwa issue..!

31347_125715197459154_114997471864260_191995_4730553_n.jpg


31347_125714307459243_114997471864260_191994_7731525_n.jpg
 
asante sana kwa picha Mfukunyuzi ..Mbona hapo kabadilika tena kidogo..vivazi vya urembo vinaogopesha mmh:becky:

All the best mrembo ,i hope u will make it
 
Back
Top Bottom