Miss u pple

Karibu jamvini. Tulikumis si mchezo mamii. Vipi bado upo kwenye banda la kuku?
 
Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana
hivi wewe?=ni leo tu nilikua nafikiria kukuanzishia sredi hapa,ninini hivyo au ndo mapenzi kwa akili mukichwa yamekaba?sie wazima tu mamii
 
Back
Top Bottom