Maadili ya Zenj..hijab na umiss wapi na wapi bana ..wao wanapenda kuangalia tu ila kushiriki hawataki eti ni uhuni na ukosefu wa maadili..kwani umeshasikia kuna miss Saudi Arabia? au kutoka UAE?
kuiga kumezidi mno...ndiyo maana ma-miss wanashindwa kuchangamka!! Utakuta wengi hiyo siyo interest yao ila kwa kuwa wana maumbo stahili huwa wanadanganyana kuwa watakuwa ma-miss wazuri....