dahhhh kikwete kapigiwa d ebe live na mrembo baadaya kuulizwa atamchagua mtu wa aina gani, akataja hizo sifa kisha akasema jk anazo kwani anaongoza kwa ari nguvu na kasi zaidi

Kwa hiyo safari hii taji haliendi huko kwetu bara, haya ngoja tusubiri kwa matumaini ya upepo kubadilika. Hata hivyo, kwa yeyote atakayeshinda, waandaaji ni muhimu waandae utaratibu wa kumfunda/ushauri nasaha kwani watoto wa siku hizi wakiwa macelebrity tu inakuwa tabu!!!
Hawachangamki, wajua kwa nini? Wanawaza zawadi ya mwaka jana (gari la Tshs 60 milioni) wanachanganya na ya mwaka huu (gari la Tshs 10 milioni), halafu wanatafakari!!! Halafu na uchaguzii nao labda wanauwazia!!!