Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,216
- 27,044
Sura hizo za kitutsi .tofauti ya watutsi na wahutu ni nini?
😅 Siku akikugundua utakoma Mkuu. 😅Hahaha, ndio utamu wa Jf. Huwezi hamini nishawahi kutukanana na kaka yangu kabisa wa kuzaliwa humu, siku amesahau simu take home kuingia JF lahaula la kwata nagundua ni bro. Hata majibizano kwenye mjadala nikakausha Ila yeye hadi leo hajashtuka
Namba 19 kutoka juu amewazidi wotethis one, number8View attachment 1730803
.Huyo wa pili mkono wa kulia mstari wa mwisho ndiye mzuri kuliko woteView attachment 1730772
Acha tu mkuu[emoji28] Siku akikugundua utakoma Mkuu. [emoji28]
inaonekana una uzoefu nao sana ntaenda kutembea rwanda one daySura hizo za kitutsi .
Urefu wa sura na wembamba wake
Midomo ya mviringo
Pua nyembamba na ndefu .
Rangi(sio Sana)
But hizo juu Ni factors
Ukishawajua tu wala haungahiki
Wangeonesha na huko chini walivyo
Watustsi huwa Hawa nyama huko chini wa miguu miyembamba
Wahutu Ni kama sisi tu miss Bantu pua ngumi sura Pana
Umewashindwa dada zetu wa Bongoland , huko utawaweza?Kunaingilika huko?
Wanafana sanaDuuh!! Waeza dhania baadhi ya picha zimerudiwa kwamba ni mtu mmoja kumbe sio. Lol
Unajichagulia kabisa unafanya window shopping kabisathis one, number8View attachment 1730803
Zinafanana na zako kabisaYaani!! Hata rangi zao ni nzuri pia.
Sifa ziwaendee kwa kweli.
Mweusi tiii unapeleka wapiKwakuwa wote ni warembo na wamefanana basi apewe mweusi kuliko wote maana weusi ni pisi kali always a.k.a kuku wa kienyeji.
Na nyie dada zetu kwanini msiwe hivyo mkaacha kupaka yale mavituSure wako natural and beauty
Hela ya matunzo unayo, au unaenda kuwajeza misukule tuHawa unaoa wote alafu unawaweka ndani