kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14
Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!Piga hesabu:Miaka 7-PrimaryMiaka 4-O levelMiaka 2-A levelMwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...
Labda allsoma qt
Muhimu kujuwa alisomea nchi gani! Nina rafiki yangu alisomea New Zealand, alipata Masters akiwa na miaka 17.
Upo hapo?
Hiyo masters aliyopata ilikuwa ya nini? maana inawezekana alikutumia picha akiwa kavaa joho na Kofia ukayaamini maelezo yake kwani ni vema ukajua siku hizi hata watoto wa chekechea wanavaa majoho na kofia.Muhimu kujuwa alisomea nchi gani! Nina rafiki yangu alisomea New Zealand, alipata Masters akiwa na miaka 17.
Upo hapo?
[h=3]KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14[/h]
Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!Piga hesabu:Miaka 7-PrimaryMiaka 4-O levelMiaka 2-A levelMwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...
Si lazima kuwa alisoma primary 7yrs, sio lazima kuwa alisoma form 5,6. chochote chawezekana, tusifanye mazoea kuwa sheria, swali liwe is she worthy to be Miss TZ 2014 ?KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14
Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!Piga hesabu:Miaka 7-PrimaryMiaka 4-O levelMiaka 2-A levelMwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...
Si lazima kuwa alisoma primary 7yrs, sio lazima kuwa alisoma form 5,6. chochote chawezekana, tusifanye mazoea kuwa sheria, swali liwe is she worthy to be Miss TZ 2014 ?
Du huyu dada kiboko.Lundenga rudisha chenji za watu.