Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14

1898147_814574671939813_7563865594672791502_n.png

Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters

Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...

Muhimu kujuwa alisomea nchi gani! Nina rafiki yangu alisomea New Zealand, alipata Masters akiwa na miaka 17.
Upo hapo?
 
Kwa Tanzania hii sishangai! kama kuna mgonjwa alikua anaumwa na kichwa akafanyiwa operation ya mguu na aliyekua anaumwa na mguu akafanyiwa operation ya kichwa yote hapa TZ inawezekana!
 
Mkuu miaka 18 tangu apate akili sio tangu azaliwe
au
Miaka 18 ndio uwezo wake akili yaani anafikiria kama mtoto wa miaka 18
ila sio miaka 18 tangu azaliwe
 
Muhimu kujuwa alisomea nchi gani! Nina rafiki yangu alisomea New Zealand, alipata Masters akiwa na miaka 17.
Upo hapo?
Hiyo masters aliyopata ilikuwa ya nini? maana inawezekana alikutumia picha akiwa kavaa joho na Kofia ukayaamini maelezo yake kwani ni vema ukajua siku hizi hata watoto wa chekechea wanavaa majoho na kofia.
 
[h=3]KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14[/h]

1898147_814574671939813_7563865594672791502_n.png

Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters

Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...

Hawa Mamiss wetu ni kama wachezaji wa mpira wa Bongo kwa timu za vijana, wanajaza vijeba halafu wanatangaza kuwa ni timu za vijana U20, U18 nk.

Bongo ni fulu usanii-kwenye siasa, michezo hadi tasnia ya ulimbwende!

Hatari nayoiona kwa Miss Tz wetu ni kuwa siku akiamua kuolewa anaweza kujikuta anaolewa na mdogo wake.

Vv
 
KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14

1898147_814574671939813_7563865594672791502_n.png

Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters

Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...

Si lazima kuwa alisoma primary 7yrs, sio lazima kuwa alisoma form 5,6. chochote chawezekana, tusifanye mazoea kuwa sheria, swali liwe is she worthy to be Miss TZ 2014 ?
 
Si lazima kuwa alisoma primary 7yrs, sio lazima kuwa alisoma form 5,6. chochote chawezekana, tusifanye mazoea kuwa sheria, swali liwe is she worthy to be Miss TZ 2014 ?

Kwa heshima ya tuzo aliyotunukiwa je anastahili kama atakuwa amedanganya umri na elimu yake?
 
Hivi kwanini sasa dada zetu mnaogopa sana kutata umri wenu? hapa ukienda kwenye profile za fb mtu kafiche umri wake
UMRI KWA SASA UMEKUWA KAMA MAJIBU YA UKIMWI.
 
Back
Top Bottom