Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Yaan kwenye umiss waliojitahidi ukubwa walisema wana miaka 23 wenginr 18,19,20,22,,basiii

she is too old to be 18 yrs--Angalia viwiko vya mkono na magoti ni meusi sana inaonyesha yuko >25
she is too shallow to have MA--maswali aliambiwa ajibu kwa English au swahili yeye akagonga mpaka kifaransa
aliulizwa sifa za kiongozi bora..yeye akasema barabara,etc sasa hiyo MA ya wapi?
 
Kweli kabisa uselfish umewajaa
mpaka miaka wanafoji
yaani ana umri hasi kaaa
Yaani hawa watu wanapenda kujirimbikia mambo!Utashangaa sasa ivi ananyakua na kaboifriend ka raiki yake wakati unakuta anayewake mwenye mapesa!
 
she is too old to be 18 yrs--Angalia viwiko vya mkono na magoti ni meusi sana inaonyesha yuko >25
she is too shallow to have MA--maswali aliambiwa ajibu kwa English au swahili yeye akagonga mpaka kifaransa
aliulizwa sifa za kiongozi bora..yeye akasema barabara,etc sasa hiyo MA ya wapi?

Hiyo ni mastaz ya bedroom aka masta bedroom
 
she is too old to be 18 yrs--Angalia viwiko vya mkono na magoti ni meusi sana inaonyesha yuko >25
she is too shallow to have MA--maswali aliambiwa ajibu kwa English au swahili yeye akagonga mpaka kifaransa
aliulizwa sifa za kiongozi bora..yeye akasema barabara,etc sasa hiyo MA ya wapi?
Hyo masterz nna wasiwasi nayo, kabojja shuleilimshinda ndo akapelekwa huko marekani, sa cjui huko kama aliiweza
 
[h=3]KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14[/h]

1898147_814574671939813_7563865594672791502_n.png

Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters

Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...

Mbona miss mwenyewe ana mithupu kibao hivi?? hili shindano naona lishapoteza sana mvuto lipolipo tu!
 
Back
Top Bottom