miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Hahahahah kaka Mr Rocky nakuamini sana ila unajua miss chagga ni mwanangu? Take care...
baba utanifanya nione aibu hapa sasa ujue
Hahahahah kaka Mr Rocky nakuamini sana ila unajua miss chagga ni mwanangu? Take care...
nataka ukanichukulie ile hela kwenye ATM sasa lazima zikauke leo kesho kutwa uende jon baby wangu Mr Rocky
baba utanifanya nione aibu hapa sasa ujue
Umeona eeeh miss chagga mwambie aondoke hapa bana
Afadhali aise miss chagga ila taratibu unamuona dingi yako mnoko hapo juu utafiti ashaanza kunusa nusa akikuuliza mwambie tulikuwa tunaangalia Tom and Jerry
Namalizia kazi kidogo...nafunga macho
Namalizia kazi kidogo...nafunga macho
ndiyo namficha siwezi mwambia baba ulikuwa unanifanyia mchezo anaomfanyiaga mama atanipiga
Funga macho kabisa utafiti na upite kimya kimya hapa
Halafu ile cartoon ya Tom and Jerry ilikuwa nzuri miss chagga
Nakupenda sana mwanangu...nataka tuongee kidogo
Tangu juzi ndio unaamka leo??
Mazee ni aje? Hii post yangu uliyoi-quote umeitoa wapi maana sijaoiona kwene uzi wako na ina maudhui gani kwene uzi wako?Dah kuchoka huku.... Pole sana shem...
Yes only...
Kivipi kwanza kiongozi? Me nataka nihakikishe unaenda mjengoni 2015
excel ni x