Miss neddy just remember one thing

Miss neddy just remember one thing

Weeee ushindwe kabisa, shem kashanikabidhi utunza hazina. Sasa nikasirishe tu kama sijasepa na hela zenu za michango hahaha

hahaha ukisepa tunamkamata Viol hufai kuwa mtunza hadhina
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia nipo vizuri kabanga, sijamuona Mr Rocky siku mbili tatu

Mkuu utafiti nipo kaka nilifichwa kidogo na miss chagga

Mr Rocky umefichwa wapi....? hebu tumtafute maana juzi nilimuona akiongea na miss chagga, labda atakuwa anajua....
kabanga kuna mtu alinificha na nguo zangu kaloweka kwenye maji na simu kazima kabisa halafu yuko hapa hapa anatanua tuu

Huyu jamaa ndugu yangu lakini......

Mkuu utafiti mbona huniamini nduguyo aise naona uaminifu unapotea siku hizi

yupo bussy na majukumu ya kifamilia ... acheni kumwita ita mnamsumbua baby wangu Mr Rocky

miss chagga kafue nguo zangu bana zikauke niondoke maana toka juzi nimelala tuu ndani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu utafiti nipo kaka nilifichwa kidogo na miss chagga

kabanga kuna mtu alinificha na nguo zangu kaloweka kwenye maji na simu kazima kabisa halafu yuko hapa hapa anatanua tuu

Mkuu utafiti mbona huniamini nduguyo aise naona uaminifu unapotea siku hizi

miss chagga kafue nguo zangu bana zikauke niondoke maana toka juzi nimelala tuu ndani

nataka ukanichukulie ile hela kwenye ATM sasa lazima zikauke leo kesho kutwa uende jon baby wangu Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah kaka Mr Rocky nakuamini sana ila unajua miss chagga ni mwanangu? Take care...

OMG kumbe nimemwaga kuku kwenye mchele wengi aise sorry sana mkuu utafiti tulikuwa tunasikiliza tuu redio na kuangalia movies za Kanumba si unajua Kanumba alikuwa mwigizaji mzuri sana wa kimataifa :A S wink::A S wink::A S wink:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom