The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Japo sikupata kopi ila ninachokiona ni kubebana kulikopindukia hapa jf. Pia hapa tupo kama kivuli utanijuaje uzuri wangu au tabia na kubwa hapa ni itikadi za vyama. Mi nitaendelea kuwa mtazamaji na mfadhili kama mtataka.
Wanaangalia michango yake hapa jf uhalisia atajuana nao mwenyewe