Miss jf

Miss jf

kwa mtazamo wangu zoezi hili litaingia dosari la kupendeleana. Kama hujagundua humu jf kuna kakikundi ka urafiki fulani ambapo ndipo hupeana nakala na kutaja majina kila wakati, kuna watu wanapost humu karibu kila siku lakini huwezi kukuta wamepewa nakala (cc) hata siku moja ila ni wale wale..... Hii italeta shida kumpata huyo miss. Mfano uliohai ni hao uliowacopy hapo juu ina maana hakuna wengine humu? Bila shaka hata miss atatoka humo humo! ------------------- huu ni mtazamo wangu tuuuuuuuuu

jina lako halipo nini!!!!!!
 
Tanzania tumefikia hatua hii kutumia mitandao vibaya wakati tuna matatizo kibao umesahau kwamba kijijini kwenu watu wamepoteza tumaini uliyeleta huu uzi jaribu kuwa mzalendo hata chembe ya haradai
 
baada ya miss jf inafuata mr jf,bibi bomba na babu bomba bila kusahau jf star search.....vigezo na masharti kuzingatiwa vp?
Jibu kaa nalo
raha kuwa mwana jf
 
Miss JF????
Miss ni msichana kigoli ambaye bado hajaanza kuteremsha vizaigoti....sasa sijui ulikuwa una maana gani maana usishangae tukachagua Bibi Bomba badala ya Miss JF

Ahahaaaa unanitukana
 
Miss JF????
Miss ni msichana kigoli ambaye bado hajaanza kuteremsha vizaigoti....sasa sijui ulikuwa una maana gani maana usishangae tukachagua Bibi Bomba badala ya Miss JF

Huku kuna wasichana bomba sana mkuu, kama huna taarifa nipm. Hata hivyo si nimeeleza tunamtafuta Jf lady wa kiaje mkuu?
 
Miss...anatakiwa awe hajaolewa au na umri hauna kigezo hapa?

Kwa sifa zile nilizozitaja kwa sababu kujua kama hajawahi au lah ni ngumu, na umri pia sio rahisi kufahamu.
 
huo uzuri unaousema tutaujua vipi,au hili ni shindano la uso kwa uso jukwaani,,,,,,,,kama hiki kigezo kikitumika utamjuaje Asnam ni mzuri,au tutabase kwenye imagination?
muongozo tafadhari!!!!!!!!

Imagination, psychology (hapa jinsi mtu anavyojiexpress unaweza kupata picha yukoje), kuna some evidences pia tunaweza kupata, mfano kama mtu alishawahi kukiri yeye sio mzuri au mzuri hata kama anajisemea ujue kuna ukweli fulani! Pia gambling - MziziMkavu atatusaidia!
 
Last edited by a moderator:
^^
Wazo ni zuri,,changamoto kubwa ni ukubwa wa JamiiForum yenyewe.
Kuna watu tupo selective sana na majukwaa kiasi hatuwajui wengine.
Kwa MMU nitapiga kura wakati ukiwadia Simplicity
^^

Tutawaomba mods waweke tangazo kila jukwaa. Ahsante mkuu.
 
miss jf haina neno ila tu nashauri waweke alama nyingine tofauti kabisa na haya madaraja yaliyozoeleka eg gold member, bronze etc maana itashusha thamani ya hizo grades itakuwa ni sawa na kupika nyangumi na sato kwenye chungu kimoja.

Huku kuna watu wengi tu wabunifu watatusaidia alama ya kupewa mshindi.
 
I find it very difficult,nani anapiga kura???Watajuaje hiyo michango chanya hapa Jf???Members wapo wa longtime kitambo ambao leo wanaonekana kwa nadra sana na michango yao haitakumbukwa kirahisi,wale wageni watapa faida ama waliokaa muda sana humu,anyway ngoja nisubirie.

Watu watatusaidia namna ya kufanya judgement mkuu subiri waje.
 
itakuwa sio fair kwa sababu kuna watu wameweka avatar nzuri sana lakini hawana sifa za kuwawezesha kushinda tofauti na yule mwenye avatar ya ajabu ajabu,,,,,,kuna suala la ushabiki pia nalo ni tatizo kuna watu wanaongea pumba na wana wafuasi wengi utashangaa na roho yako akalitwaa taji huku vigezo na masharti vikiwekwa pembeni.....all in all i will caste my votes to any one deserving my vote.

Pia ni ruksa kumdisqualify mtu kwa pumba alizowahi kuandika hapa, threads si zipo! Hatutaki ushabiki, lazima watupe sababu ya kumpigia mtu kura angalau 2 au 3 with evidence.
 
Kwa mtazamo wangu zoezi hili litaingia dosari la kupendeleana. Kama hujagundua humu JF kuna kakikundi ka urafiki fulani ambapo ndipo hupeana nakala na kutaja majina kila wakati, kuna watu wanapost humu karibu kila siku lakini huwezi kukuta wamepewa nakala (cc) hata siku moja ila ni wale wale..... hii italeta shida kumpata huyo miss. Mfano uliohai ni hao uliowacopy hapo juu ina maana hakuna wengine humu? bila shaka hata miss atatoka humo humo! ------------------- huu ni mtazamo wangu tuuuuuuuuu

Mkuu watake radhi maana niliowacc sio wote wanawake!
 
mkuu watu8 kuna post moja ambayo ilinitambulisha kuwa huyu jamaa ni mwanaume na nilimueleza kwamba kila siku nilijua ni mwanamke ila still simuelewi elewi
 
Last edited by a moderator:
Kongosho mwongozo wako unahitajika kupitia thread ya Mr Rocky
afu SIMplicty kuna thread sticky pale juu sijui kama umeisoma maana sijaona sura yake mule
 
Last edited by a moderator:
Mapi kura zipigwe waziwazi tu, ili sote tuwe tunaona. Kisirisiri ndio kuna hatari ya kupendelea. Nadhani wazo la lara 1 ni zuri, kama alivyoshauri ni kutaja tu kura inaenda kwa nani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom